Askari wa Bunge, wabunge wa CCM mjipiime upya. Hawa wabunge tumewaagiza sisi walipa kodi

babake nasreen

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
702
490
Habari zenu mabibi na mabwana,

Nina maswali yananitatiza sana kichwani kwangu juu ya nani mwenye mamlaka ya kulitumikia taifa bila bughuza na kuheshimiwa mawazo yake.

Leo nilikuwa natizama bunge, nikastaajabisha kuona wabunge wa CCM kuanza kumshambulia kwa maneno mbunge wa CHADEMA Mh. John Mnyika huku wakikataa kufuta kauli zao huku wakiwa comfortable bila wasiwasi wowote.

Naona jinsi gani mbunge yule kijana mdogo kabisa anavyovunjwa moyo na wabunge wenye uwezo mdogo ambao hawakuweza kulinyasua kivyovyote taifa hili maskini kwa miaka kibao japo wapo katika chama tawala, mfano yule mbunge wa mtela ambako hali yake siyo nzuri kabisa unaweza sema ni kati ya majimbo duni kabisa hapa Tz.

Swala la pili:- Najiuliza kwanini viongozi wa bunge na wabunge wanataka bunge liwe lilelile la kukubali kila kitu na hawataki akili mpya na mawazo mapya yatolewe ili kujitathmini na kuliendeleza taifa na siyo kila siku hali kuwa ileile ya kukubali kila kitu? Nani amewaambia kwamba sisi watanzania tunavutiwa zaidi na wanachotaka wao na sio mawazo yenye kuhoji kama akina Mnyika?

Kwann viongozi wa bunge wanataka wabunge wa upinzani wawe kama watoto wakiwa ambao hawana uhalali na nchi hii na wabunge wa CCM wawe comfortable kama kwamba nchi ni yao peke yao?

Mwisho, hivi hawa walinzi wa bunge kwanini hawana staha kwa viongozi wa upinzani kusema kwamba wao wameajiliwa na CCM na hao wanaowasukuma sukuma kwa dharau siyo viongozi wao na hawatakuja kuwa viongozi wa juu kabisa wa nchi hii, askari wa bunge wajia asses upya, hawako fair hata kidogo, wanalipwa na kodi za hao wanaowasukuma kama Mbwa na siyo vingine.
 
Ndugu yangu usikwazike kwani tunapaswa kuwapa moyo wa ujasiri wabunge wetu. Haya manyanyaso kuna siku yatakwisha. Hoja ya madini wapinzani wiliibua bungeni miaka mingi iliopita lkn waliwapuuza na leo hii wameiteka wao nakuanza kuwakejeli wenzao kwa wingi wao. Nawapa pole nyingi Waheshimiwa Wabunge wa Upinzani hasa Mh J. Mnyika na Ester Bulaya. Msife moyo wakututetea sisi wanyonge wa nchi hii. Hakika Mungu aliyehai yuko na ataendelea kuwa nanyi daima. Siku itafika maadui zenu wataaibishwa mchana kweupe.
 
Siku zote nilikuwa naona kama wapinzani labda ndo wanakuwa watovu wa nidhamu lakini leo nimeumia sana kwa kile wabunge wa ccm na spika walichokifanya. Yaani eti wamegeuza kibao kuwa wapinzani ndo wezi wa madini wakati mikataba hiyo kandamizi walipitisha ccm wenyewe. so sad na pole Sana Mñyika na wabunge wote wa upinzani ila ipo siku Mungu atatusaidia
 
Habari zenu mabibi na mabwana, nina maswali yananitatiza sana kichwani kwangu juu ya nani mwenye mamlaka ya kulitumikia taifa bila ghubuza na kuheshimiwa mawazo yake..

Leo nilikuwa natizama bunge, nikastaajabisha kuona wabunge wa Ccm kuanza kumshambulia kwa maneno mbunge wa Chadema Mh. John Mnyika huku wakikataa kufuta kauli zao huku wakiwa comfortable bila wasiwasi wowote.

Naona jinsi gani mbunge yule kijana mdogo kabisa anavyovunjwa moyo na wabunge wenye uwezo mdogo ambao hawakuweza kulinyasua kivyovyote taifa hili maskini kwa miaka kibao japo wapo ktk chama tawala, mfano yule mbunge wa mtela ambako hali yake cyo nzuri kabisa unaweza sema ni kati ya majimbo duni kabisa hapa tz.

Swala la pili:- Najiuliza kwa nn viongozi wa bunge na wabunge wanataka bunge liwe lilelile la kukubali kila kitu na hawataki akili mpya na mawazo mapya yatolewe ili kujitathmini na kuliendeleza taifa na cyo kila siku hali kuwa ileile ya kukubali kila kitu? Nani amewaambia kwamba sisi watanzania tunavutiwa zaidi na wanachotaka wao na sio mawazo yenye kuhoji km hakina Mnyika?

Kwann viongozi wa bunge wanataka wabunge wa upinzan wawe km watoto wakiwa ambao hawana uhalali na nchi hii na wabunge wa ccm wawe comfortable km kwamba nchi ni yao peke yao?

Mwisho, hivi hawa walinzi wa bunge kwann hawana staha kwa viongozi wa upinzan kusema kwamba wao wameajiliwa na ccm na hao wanaowasukuma sukuma kwa dharau cyo viongozi wao na hawatakuja kuwa viongozi wa juu kabisa wa nchi hii, askari wa bunge wajiaccess upya, hawako fair hata kidogo, wanalipwa na kodi za hao wanaowasukuma kama mbwa na cyo vingine.
Hao walinzi wa bunge 2020 watakomaje? kuna jamaa kupitia upinzani anaingia mjengoni jamaa nimefanya nae yale mambo ya hekalu la kujilinda na ni mbobezi nataka nione asipoelewana nao watakavyomtoa kwa nguvu nipate kuokota meno na kushuhudia ukumbi unavyo kuwa red red red!
 
Ila leo nilipoona kideo haswa ile kusukumwa pale nje, nilibaki mataaa. Na ndani kumbe bunge si la mchezo mchezo mbunge anaondolewa kama vile wakimsubiri abishe au kuchukua muda bila kumvuta na kumbeba atatenda baya zwidi. Neio nimeona muda wa bunge sio wa kuuchezea na pia hakuna kumdharau spika.

Ila amesukumwa kama ile utotoni nimekumbuk8a watu kupigwa masingi....askari akamsukuma pwaaa just like that...heshima yote pale kwishney...sikujua wanaweza fanya hayo. Hata ndugu yangu siwezi kumskuma hivyo loooo.

Ila neno kuitwa mwizi limesikika kabisaa, sasa tusubiri spika labda ataeleza zaidi juu ya hilo na kama lilikuwa kosa au sio kosa aeleze. Either alikuwa anafikiria yanayosemwa akalikosa or yaani halikumwingia kuchukua hatua sababu ya kuweka fukra kwa mbunge mwingine... unajua hili utokea binadamu wote la kutosikia wakati mwingine ikiwa...

Ila ile sukumwa duh, kwanza waliambiwa kwa amri wamfikishe nje ya geti, wakamuachia njiani na kumsukuma... au ndio mbunge usipojiheshimu na askari wanakushusha hivyo.

Duh msukumo ule, bora muwe mnakaa majimboni na kuleta ya wananchi kuliko kuja bungeni mnapiga kelele juu ya mambo yasiyoipa majimbo yenu kipaumbele kwa wananchi wenu.
 
Habari zenu mabibi na mabwana, nina maswali yananitatiza sana kichwani kwangu juu ya nani mwenye mamlaka ya kulitumikia taifa bila ghubuza na kuheshimiwa mawazo yake..

Leo nilikuwa natizama bunge, nikastaajabisha kuona wabunge wa Ccm kuanza kumshambulia kwa maneno mbunge wa Chadema Mh. John Mnyika huku wakikataa kufuta kauli zao huku wakiwa comfortable bila wasiwasi wowote.

Naona jinsi gani mbunge yule kijana mdogo kabisa anavyovunjwa moyo na wabunge wenye uwezo mdogo ambao hawakuweza kulinyasua kivyovyote taifa hili maskini kwa miaka kibao japo wapo ktk chama tawala, mfano yule mbunge wa mtela ambako hali yake cyo nzuri kabisa unaweza sema ni kati ya majimbo duni kabisa hapa tz.

Swala la pili:- Najiuliza kwa nn viongozi wa bunge na wabunge wanataka bunge liwe lilelile la kukubali kila kitu na hawataki akili mpya na mawazo mapya yatolewe ili kujitathmini na kuliendeleza taifa na cyo kila siku hali kuwa ileile ya kukubali kila kitu? Nani amewaambia kwamba sisi watanzania tunavutiwa zaidi na wanachotaka wao na sio mawazo yenye kuhoji km hakina Mnyika?

Kwann viongozi wa bunge wanataka wabunge wa upinzan wawe km watoto wakiwa ambao hawana uhalali na nchi hii na wabunge wa ccm wawe comfortable km kwamba nchi ni yao peke yao?

Mwisho, hivi hawa walinzi wa bunge kwann hawana staha kwa viongozi wa upinzan kusema kwamba wao wameajiliwa na ccm na hao wanaowasukuma sukuma kwa dharau cyo viongozi wao na hawatakuja kuwa viongozi wa juu kabisa wa nchi hii, askari wa bunge wajiaccess upya, hawako fair hata kidogo, wanalipwa na kodi za hao wanaowasukuma kama mbwa na cyo vingine.
Kilichofanyika leo kwa mnyika ni sahihi tena alipaswa achapwe virungu. Kitendo alichofanya cha kubishana na spika ni ukosefu wa nidhamu.
 
Haya yanausiano gani na bandiko lililopo? Au hujielewi sasa nani mwenye laana kati yako na Mh Mnyika? Kama huna laana basi kuna kitu kimekuvuruga.
Hukumwona alivyokuwa na kiburi hashauriki kabisa ndo hicho alichokuwa anamfanyia mtingi wake miaka mingi
 
Back
Top Bottom