Katika Pitapita Zangu Mtaani Nimemkuta Jamaa Anafurahia Ndugu Yake Kuteseka Mtaani Kisa Eti Tu Ndugu Yao Yupo Katika Kundi Fulani La Imani Madhehebu Tofauti.Anae Mchukia Tajiri Anaechukiwa...
Niliwahi kuandika kuhusu MAFURUKU"
Na Leo naandika Kuhusu SENGERETI
Najua jibu rahisi itakuwa ni makosa madogo madogo ya kiuandishi...
Sawa basi tupeni maana ya hili Neno SENGERETI maana ni Neno...
Poleni na MAJUKUMU
Ndugu zangu bajeti ya Leo binafsi nimeona ina dalili njema kwa sehemu hasa ikitekelezwa.
Ingawa bado kama nchi tunakazi kubwa ya kubuni vyanzo vipya vya mapato tena makubwa...
Itifaki izingatiwe.
Kwa wale wenzangu na mie tunaotumia usafiri wa daladala,ni kero gani mnazokumbana nazo.? Binafsi huwa nachoshwa sana na abiria wanaopiga simu kwa sauti huku wakieleza matatizo...
Wandugu kuna ile kampuni iliyoingia mkataba na Tanesco,linataka kurenew mkataba wa kinyonyaji tena na tanesco na kipindi cha nyuma kamati ya bunge wallitoa tamko kwamba hawana Sifa,sasa Ewura...
Mm Nina experience ya miaka 5 kwenye Kampuni flani.Unafanya kazi ya mkataba.Nina degree ya biotechnology kutokana Sua.siwezi kusoma zaidi itabd niache kazi.kazi hii ni ya udhia mwingi ila mshahara...
habari zenu member!
kuna swali naliomba kuuliza "wizara ya nishati na madin"
hivi hapa tarime tunatumia umeme wa gridi ipi haiwezi kupita wiki umeme umetulia bila kukata karibu kila siku umeme...
Hii ni moja ya michango bora katika Bunge linaloendelea sasa. Hamna gari inayostahili kulipia road licence kama haipo barabarani, cha ajabu wamiliki wenye magari yasiyotembea kwa ubovu ama ajali...
Wakuu ukiangalia tabia za bunge na wa bunge wa upinzani wa tz na south Africa zina lingana haswa fujo na spika kuamua polisi waingilie kati. ninacho taka kujua ni kama spika wao naye anatoa...
Wanabodi.
Wote tunajua Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni miongoni mwa vyuo vikongwe hapa Tanzania na hata Afrika. Chuo hiki kwa sasa kipo kwenye ujenzi wa miundombinu hasa Mabweni, Maktaba na...
Ramadhani kareem
Nakumbuka wakati utawala wa awamu ya 5 unaingia madarakani na rais Magufuli kuja na mtindo wa kutumbua watumishi,alivutia Watanzania wengi Sana kwenye TV muda wa taarifa ya Habari...
Mambo vp wadau,kwa wale wapenz WA TV Bila Shaka mtakuwa wengi wenu mmeshawahi kutupia jicho clouds tv kama mnavyotupia jicho TV zingine
Katika kufanya hivyo binafsi nimegundua clouds tv Wana...
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUEPUKA MATUKIO YA MOTO UNAOSABABISHWA NA UMEME MAJUMBANI.
1.Hakikisha utandazaji nyaya (wiring) inafanywa na mkandarasi aliyesajiliwa na Serikali
2.Hakikisha vifaa...
Habari wana JF.
Naomba kuulizia kwa yeyote anayefahamu Boxing Gym iliyopo maeneo ya mbagala rangi tatu na viunga vyake vya karibu kama Zakhem,Kokoto n.k basi anijulishe hapa eneo ilipo hiyo...
Karibuni kwenye Jamvi.
Kama nilivyo eleza katika kichwa cha habari hapo JUU..
Najua na kwa hakika wapo watakao shangaa na kupinga, pia wapo watakao UNGANA nami kwa michango yenye KUELIMISHA na...
Salama wakuu? Nina swali. Share holder wa kampuni binafsi ( Private Company Limited By Shares ) ambae alikuwa bado hajazilipia share zake na anataka kujitoa kwenye kampuni...
Kufuatia matukio ya ukatili dhidi ya wazee vikongwe kuongezeka mkoani Tabora, yanayosababishwa na imani za kishirikina, Jeshi la polisi mkoani humo limeazimia kuyamaliza, kwa kuwakamata wapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.