Tukubali kuwajibika sote

Rahimu Kiiza

Member
May 29, 2017
25
45
Ndugu zangu wapendwa tupo katika wakati mgumu kimaisha japo nasema hivo kwa walio wengi wako hivo inakuaje linapokuw alimetokea tatizo tunawahi kulaum na kuja juu kwa bila kutafakari mfano.

Timu ya taifa ikifungwa utasikia Waziri awajibike, hivi kweli jamani nimeona mtu mmoja anasema waziri wa mambo ya ndani awajibike kwa mauaji ya Kibiti sikatai ila tuangalie chanzo.
Na kwanini serikali haitoi taarifa zilizo kamili kwa suala la Kibiti?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom