Hotel levy

Hotel levy

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Nimeelezwa na Ndugu yangu kuwa Hotel levy au Service Levy ya Hoteli pia imefutwa?. Naomba kwa mtu aliyefuatilia bajeti anipe jibu.
 
Yes...sasa ni kuishi guest badala ya kupanga nyumba...maana kodi za nyumba zinaongezeka...
 
Bora kabisa manispaa zilikuwa zinazingua
 
Haa hii ndo mbowe aligoma kuilipa pale aishi hotel mapaka mkuu wa wilaya ya HAI akaingilia kati hivi hii ni kubwa sana mpaka mheshimiwa anashindwa kuilipa?
 
Mbowe katokea wapi huku...amjuii RC WA JRO ASHACHAGULIWA
AMKENI BANA
 
Hotel levy haijafutwa bali guest house zinazolipa hotel levy hazitalipa city service levy.
 
Back
Top Bottom