Je Hii ni official Airtel Reminder?

Maledhi

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
200
77
Habari za leo Wakuu

Nimeamua kuuliza kupitia jukwaa hili maana DUNIA ya sasa imebadilika
Nimepokea meseji toka Airtel kwa mara ya 3 hv au zaidi
Inasomeka hv

"Dear Customer, Your number is partially registered. Send your ID; Driving license, Voters, National OR Passport for FULL registration to WhatsApp 0786670856"

Ningeomba kufahamishwa kama huu ni ujumbe rasmi na hiyo ni namba sahihi kutuma hzo documents

Asanteni

Maledhi
 
Ni kweli mkuu maana Unaweza kujikuta kwenye matatizo
 
Unaibiwa Mkuu
Kama Kweli Unajitambua Achana Na Hiyo Number Wafuate Ofisini Kwao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom