Suala la elimu ya juu lipewe kipaumbeke 2017/2018

Suala la elimu ya juu lipewe kipaumbeke 2017/2018

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2016
Posts
2,702
Reaction score
3,839
Mh Raisi hongera kwa majukumu ya siku hadi siku
Ninaitambua dhamira yako njema kwa watanzania wakipato cha chini kupitia "elimu bure"

Kutokana na uwezo/bajeti ndogo kwa wanafunzi wa elimu yajuu wanayopatiwa,ikilinganishwa na shule za msingi na sekondari kulipiwa gharama zote na serikaki nashauri gharanama hizo ziwe kinyume chake

Ninashauri hivyo kwasababu zifuatazo,
-Wanafunzi wa elimu ya juu wanaouhakika mkubwa wa jurejesha hela zao endapo ukitengenezwa utaratibu maalum
-Hela inayotolewa kwa elimu msingi na sekondari sio kubwa hivyo waliowengi wanahimili nawale watakaobainika hawawezi kabisa ndio wasaidiwe
 
Back
Top Bottom