Itategemea na ukubwa wa hiyo migongo pamoja na hali ya hewa ya eneo lilipo jengo lako(mfano kama eneo lina kawaida ya upepo mkali).Kingine ,tunatumia misumari maalumu kwa ajili ya kunakshi paa.likezekwa kwa misumari yenye rangi yake paa huonekana vizuri.Ni vizuri ukawasiliana na fundi wako ili aone kipi kitafaa zaidi kadiri ya mazingira yalivyoHabari za asubuhi wanajamvi!
Samahani naomba Kuuliza kwa anayefahamu,
Hivi kuna tatizo gani linaweza kutokea endapo utatumia misumari ya bati za kawaida yaani migongo midogo kuezekea bati za migongo mipana!
Naomba kufahamu hilo!
Nawasilisha!
Nashukuru sana jakadio kwa ushauri wako!Itategemea na ukubwa wa hiyo migongo pamoja na hali ya hewa ya eneo lilipo jengo lako(mfano kama eneo lina kawaida ya upepo mkali).Kingine ,tunatumia misumari maalumu kwa ajili ya kunakshi paa.likezekwa kwa misumari yenye rangi yake paa huonekana vizuri.Ni vizuri ukawasiliana na fundi wako ili aone kipi kitafaa zaidi kadiri ya mazingira yalivyo