Jamani mi nina mdogo wangu anataka kwenda chuo cha CBM(COLLAGE OF BUSSINES AND MANAGEMENT).kipo dar es salaam.naomba mnisaidie kupata namba pamoja na website yao kwa wanaoijua plz
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Anne Semamba Makinda
Baada ya jina la Waziri Mkuu kusomwa na Spika, Mwanasheria Mkuu wa serikali alipewa nafasi ya kutoa hoja au kuongea; Mheshimiwa Tundu...
Rushwa ya barabarani ni wastani wa milioni 900 kwa mwaka
Pesa hii inaweza kusomesha watoto 4,500, kununua mifuko
13,000 ya mbolea, na mabati ya nyumba 2,500.
Rushwa imekithiri sana katika...
Ndio yawezekana kabisa kuingiza zaidi ya kiasi hicho kwa mwezi,
Je ungependa kujua ni jinsi gani hilo lawezekana?
Ikiwa wataka kujua click hapa,
Karibu sana.
Wengi mtakubaliana nami kuwa kwa sasa sio humu JF peke yake hata maofisini, nyumbani, vyuoni n.k. tumekuwa na ushabiki mwingi wa kisiasa na kutambiana kuwa chama flani kimeshinda bila kuangalia...
Jamani tunatakiwa tutambue hivi, CCM ni wajanja, na wanajua kabisa kuna watu ambao wakikamata
akili zao na maisha yao, itawapa kufanikiwa ktk kuendelea kumtawala Tanzania.
Tutazame mambo haya...
Wana JF Salaam
Siku ya Jumapili usiku nilipita jirani na uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha,na nilikuta kundi la wanaoitwa watoto wa mitaani au wanaoishi kwenye mazingira magumu wapatao 18...
Scientists warn of sterility after testing temperatures of nether regions
Source: Reuters
Whoever invented the 'laptop' probably didn't worry too much about male reproductive health.
Turns...
Ivi inakuaje spidi ya gari mfano starlet ikiwa kwenye 100km/h inapitwa na basi kubwa ambalo lipo 80km/h.
Kama ishu ni gear box revolution,,sasa speed ipi ndo correct?
Leo nimesikia redioni (clouds)kipindi cha magazeti kuwa malimu self amekabidhiwa ofisi na kazi zake zitakuwa
1.kuhangaikia ukimwi,
2.walemavu
3.mazingira
4. Mihadarati
hii yanne nimeiona ni...
Gazeti la Nipashe linaripoti ya kuwa kesi ya Basili Pesambili Mramba na wenzake itaendelea kusikilizwa leo hii.......................Hii ni kesi ya kutoa zabuni kwa kampuni ya kuhakiki dhahabu...
Wana forum msaada hapa jamani,niliagiza vigari vyangu huko japan baada ya kudunduliza vihela kwa muda mrefu sana.sasa ishu inakuja hapa,gari zimeingia tangu kama wiki imepita sasa ila clearing...
Mods,
Sijui nini hasa dhumuni lenu lakini kuiunganisha thread yangu na nyingine sidhani kama mmenitendea haki yangu ya msingi. Nimemuuliza mhe swali ni matarijio yangu ingekuwa rahisi yeye kuona...
Wajameni wanaJF, kweli hii inasikitisha, rafiki yangu amemaliza course work yake kama kawaida na kusoft bind thesis yake mapemaaaa miaka miwili iliyopita, tatizo limekuja pale kazi haikupelekwe...
Salaam wana JF,
Nataka kujua juu ya kampuni hii ya simu;
Iliingia nchini kama Celtel, mwaka 2008 ikabadilika na kuwa zain nayo inasemekana baada ya kuuzwa, sasa hivi imebdilika na kuwa airtel...
Moderator na wana JF
Kulikuwa na thread kuhusu usalama wa taifa.... iko wapi? Kuna news motomoto za kuweka! Please.... urgent... naomba link yake. Nimejaribu kuitafuta bila mafanikio!
Wana JF naomba kuuliza hivi Majimbo yanayochagua wabunge ambao ni Wahindi au Waarabu kama Singida mjini,Igunga au Ilala huwa hakuna Watanganyika wenye sifa za kugombea au huwa inakuwaje? Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.