Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Gazeti la Nipashe linaripoti ya kuwa kesi ya Basili Pesambili Mramba na wenzake itaendelea kusikilizwa leo hii.......................Hii ni kesi ya kutoa zabuni kwa kampuni ya kuhakiki dhahabu bila ya kufuata sheria ya manunuzi ya huduma za umma.......