Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Just a thought, Maybe there is some truth to it. Just think!!! Willie Lynch letter: The Making of a Slave By FinalCall.com News Updated Aug 22, 2005, 01:05 am Email this article...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Lowassa katoa Buriani iliyoPinda bila Daftari kwa Ghasia kama kalewa Pombe vile. Whats in a name? Next cabinet the Prezzo better be careful, lol! IFUATAYO ni hotuba fupi aliyoitoa Waziri Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It seems it all started with one random email (who many thought was UDAKU au CHUKI BONAFSI) Mara zitto anasimamishwa kazi??,then slaa comes up, now the PM has resigned?? Je did CCM panic?I would...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mjengwa kauliza swali tamu sana kule kwenye blogu yake http://mjengwa.blogspot.com/ Amesema hivi: Wachukuliwe kwa gari wote wawili. Washushwe Magomeni Mwembechai kisha waambiwe...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nimekaa nikitafakari maneno aliyotoa Seleli kujibu hoja za Lowassa kulaumu Kamati na Riposti ya Mwakyembe. Kitendo cha Seleli kusimama kidete na kumjibu aliyekuwa Waziri Mkuu kwa ufundi, ukakamavu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanandugu tumefurahi sana kusikia kujiuzulu kwa waheshimiwa wa ufisadi na kuwapongeza wale ambao bado wanasubiri kutangaza kujiuzulu... Baada ya yote bado kichwa changu kinaniuma kuhusu pesa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina mizigo yangu nataka kutuma nyumbani kwa kutumia kontena. Je kuna mbongo/wabongo wowote ambao wana mizigo ya kutuma? Kama wapo, basi naomba tuwasiliane kuona kama tunaweza kubanana kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tunatarajia kuwa na onesho baadaye leo Jumamosi kupitia BONGO RADIO na ninawakaribisha wale wote watakaopenda kushirika katika mjadala na mazungumzo yatakayoanza saa nane mchana EST (-5GMT)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu mpya, Mizengo Pinda amesema suala la ukubwa wa Baraza la Mawaziri litakuwa moja ya ajenda za mwanzo kabisa kwake, pale atakapokutana na Rais Jakaya Kikwete kujadili baraza jipya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1. Usiwe muongo kama Karamagi 2.Usiwe mwizi kama Balali 3. Usiwe mbishi kama Zitto 4. Usiwe makelele kama Makamba 5.Usiwe mbabe kama Sitta 6. Usihukumu kama Mudhihiri 7...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wanabodi, Tokana na juhudi zetu za kumwaga ama kuanika uchafu unaofanywa na viongozi wetu katika serikali ya Tanzania, tumewezesha kulazimisha Baraza la mawaziri kuvunjwa. Lakini kiini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Call it Gombesugu or Kumkoma Nyani Kiladi! In wake of political uncertainty of Tanzania Government future due to inefficiency, incompetence and severe allegations of corruption and pressure from...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Rejea Kashafa ya Richadmond dhidi ya Lowasa (Aliyekuwa Waziri Mkuu). Is it my understanding kwamba Lowasa ameachia madaraka ya Uwaziri mkuu kwa sababu kashfa ya Richadmonds inamgusa yeye kaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
How long before it's okay to stone your wife to death for talking to another man so long as you married her in a country that allows it? Muslim husbands with more than one wife to get extra...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
source: 1. The staff has developed guidelines for dealing with you and quietly passes them to new employees. "Never suggest that there might be another way of doing something," they might say...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepata hii e-mail nadhani inatoka bungeni nimeona niipost hapa. Mimi nasema,kama kweli atafanya anachokizungumza.Atanipa imani ila nitafanya hivyo tu baada kuona Watu wote waliohusishawa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mheshimiwa Kikwete, hiyo nchi inayoitwa Tanzania imekuchagua wewe kwa sasa kuwa raisi wao na una kila mamlaka na nguvu ya kuamua na kuiongoza. Naomba nikukumbushe kuwa hauitaji kuomba ruhusa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kawaida yetu kutabiri nani anashika uongozi pindi mabadiliko yanapotokea, sasa tabirini nani atashika nafasi Waziri Mkuu, toa majina matatu na utaje vigezo/sifa zitakazofanya mtu huyo ashike...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jitihada za CCM kujisafisha hazitafanikiwa ikiwa fisadi Mkapa hatawekwa kiti moto na kama kuna ushahidi kwamba alivunja sheria za nchi kujipatia mali kwa njia za haramu basi afikishwe mahakamani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku ya jana imeingia katika kumbukumbu za serikali na maelfu ya wananchi wa Tz na wengine wenye uhusiano na Tz kwa namna moja ama nyingine. Katika kuangalia angalia habari ya Lowassa nimekuja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom