Tutafute dawa/suluhisho la tatizo la watoto wa mitaani-tusilaumiane

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
195
Wana JF Salaam

Siku ya Jumapili usiku nilipita jirani na uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha,na nilikuta kundi la wanaoitwa watoto wa mitaani au wanaoishi kwenye mazingira magumu wapatao 18 au 22 hivi,vijana hao walikuwa wa kati ya umri wa miaka 12 hadi 18 kwa kukisia,ng'ambo ya barabara alikuwepo mamalishe na alikuwa akiitisha change za noti mbalimbali toka kwa watoto hao nadhani ni wateja wake,

any way nikatize hiyo stori,
ninachotaka tujadili ni hili wimbi la hawa watoto linavyoendelea kukua na vyombo vya serekali na wananchi tukiliangalia kama jambo la kawaida mwisho wake ni nin?

NINACHOULIZA

  • HIVI HAIWEZEKANI KUTOKOMEZA TATITO HILI?
  • VITUO VINAVYOENDESHWA VINAANIA YA KUTATUA TATIZO AU NI MIRADI?
  • KUNA SERA YEYOTE KITAIFA JUU YA KUMALIZA TATIZO HILI?
NINAHOFU KUWA TUNAANDAA MAJAMBAZI,MACHANGUDOA,NA MAKUNDI MENGINE HATARI

TUFANYA NINI!!!!1

NAOMBA KUTOA HOJA!!!

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom