chowder
New Member
- Oct 1, 2010
- 3
- 0
Wana forum msaada hapa jamani,niliagiza vigari vyangu huko japan baada ya kudunduliza vihela kwa muda mrefu sana.sasa ishu inakuja hapa,gari zimeingia tangu kama wiki imepita sasa ila clearing agent wangu ananiambia eti sikuhizi kuna mfumo wa kuwasiliana kwa mtandao kati ya agent na TRA/TISCAN sio ule wa manualy, sasa muda unaenda hakuna majibu huko kwenye mtandao wa TRAPAD sijui mtanisaidia wataalam wa hayo mambo.Hivi inakuaje hapa si ndio mwanzo wa kuja kulipa storage ambayo wasnt my fault?:sad: