Kwa hili sikubaliani na uongozi wa JF kuhusu swali langu kwako Mhe Mkumbo

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
Mods,

Sijui nini hasa dhumuni lenu lakini kuiunganisha thread yangu na nyingine sidhani kama mmenitendea haki yangu ya msingi. Nimemuuliza mhe swali ni matarijio yangu ingekuwa rahisi yeye kuona ila kwa makusudi mmeipotezea kwenye thread yenye pages nyingi ili swali likunikwe! Hii haivumiliki bado nitamuuliza Mkumbo iweje yeye awakilishe wanawake kuchaguwa wanawake wa kuwawakilisha wanawake? Mkumbo anatakiwa ajibu kwa hoja na sio kupotezea maswali ili iwe ngumu kufanya follow up.


Na hii musiiunganishe muidelete kabisa.! Mheshimiwa usipate sababu ya kutojibu maswali yetu tunaoitakia chadema mema gonga hiyo link utaona swali tajwa. Asante sana......
Mheshimiwa Kitila Mkumbo

Started by Sokomoko, Today 10:47 AM
 
nimejaribu kufatilia majibu ya mheshimiwa lakini siyaoni ila kuna mtu ameqoute nashindwa kuelewa mantiki ya kufanya haya yote!
 
Je ni halali kwa daktari mwanaume ambaye hazai kuwa daktari wa wanawake kuhusu mambo ya kuzaa ya wanawake?
 
Majibu yake yatasaidia watu wote kwa ujumla kuliko kunijibu kwenye PM as sheria inasema PM ibakie kuwa PM.........

Watu wepi unaowazungumzia wewe? Jibu utalipata kwenye PM utaridhika. Kama uko kazini endelea kukurofisha MOD
 
Back
Top Bottom