Naomba kujulishwa

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,100
926
Jamani mi nina mdogo wangu anataka kwenda chuo cha CBM(COLLAGE OF BUSSINES AND MANAGEMENT).kipo dar es salaam.naomba mnisaidie kupata namba pamoja na website yao kwa wanaoijua plz
 
Danp36,KEY WORDS UNAZO (CBM) NAKUSHAURI UJARIBU GOOGLE,KAMA WANA TOVUTI UTAFANIKIWA TU. UNAWEZA KUONGEZA NA LOCATION YAANI "COLLEGE OF BUSINESS AND MANAGEMENT - DAR-ES-SALAAM). UPO?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom