Mpasuajipu
Joined
Likes
7

Profile posts Latest activity Postings About

 • Da vincci
  wewe mpasua jipu mwana tanu naona umeacha kutandua
  Preta
  hata hapa ulipoingia sio chemba vizuri ujue tu hilo......chemba sawasawa ni kwenye Private Message.....kukuelimisha tu lakini
  Mpasuajipu
  Re: Waliotafunwa pesa za DECI jipangeni sasa

  Nataka kuwakumbusha wale ndugu zangu tuliodhulumiwa pesa za DECI wakati ni huu.
  Msipotumia nafasi hii basi hatutapata tena muda mwingine. Maana pesa zetu ZILICHAKACHULIWA sasa tutumie rungu hili tarehe 31. Mgombea mmoja tu kazungumzia na kuahidi kulitatua tatizo hili katika muda wa siku 100 akiingia madarakani. Hizo pesa zetu ndio zinatumiwa na MAFISADI sasa kuturarua rarua sasa tusikubali tena. Jamani wana DECI mpooooo, amkeni sasa

 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…