Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

THE Government is keen to streamline the disbursement of revenue shares earned from natural resources including royalty, fees and commissions from forests and wildlife to district councils...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa fedha Mustapha Mkulo amesema hali ngumu ya uchumi na ukali wa maisha unaowakabili watanzania serikali haitaweza kuvitatua na amewataka watanzania wasitegemee serikali itaondoa matatizo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
There were dayz when girlz used to cook like their momz, now they drink like their dadz.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf,kwa bla bla za ccm na viongozi wake (kumzuia Dr magufuri asifanye kazi) juu ya maendeleo ya nchi yetu,kamwe hatutaweza kufikia kiwango hiki kama walivyo wenzetu wa nchi zilizoendelea...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika hali ya kutatanisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, ameitaka serikali kuipokonya kampuni ya Barrick leseni ya madini kwenye wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, na badala yake...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi kati ya hawa wana CCM wawili ni NANI HASA ndiye rais wa Tanzania-Kikwete na Rostam Aziz??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania, Nchi ya babu na bibi zangu. Nakupenda na kukutukuza. Ila nasikitika kwamba kumbukumbu nzuri na tamu kuhusu wewe ni wimbo na bendera yako. Vingine vyote nimevisahau. Madini, mito...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jaribu kufuatilia hii link utapakujuwa madhara yatokanayo na nuclear Live updates: Disaster-struck Japan in nuclear crisis | News.com.au ikisha funguka nenda sehemu iliyoandikwa MELTDOWN EFFECTS...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna tetesi kwamba jengo la tanesco ambalo linataka kubomolewa ni la Rostam.aliwakodisha tanesco. je ni kweli???
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wa Kambi ya Bavuai Migombani, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na shitaka la kuwashambulia raia huko Jang’ombe wiki iliyopita. Askari huyo MT...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bandugu! Kaka yangu mmoja askari polisi aliuawa Juzi Shinyanga baada ya wahalifu aliokua anawalinda kumhadaa kana kwamba wanaomba kusikilizwa kidogo na alipowasikiliza ghafla wakamzidi nguvu kabla...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Na Salma Said, WAUMINI wa dini ya kiislamu wameitaka serikali kuchukua hatua madhubuti ya kuhakikisha madanguro, baa na nyumba zenye kuendesha vitendo viovu vinaondoshwa kwa haraka kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mchungaji lusekelo leo alikuwepo kwenye uwanja wa stedium akihubiri na kutoa upako na kusema babu wa loliondo anatibu kwa kikombe yeye anatibu kwa maombi nawakilisha
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Polisi wanaolinda benki ya crdb kahama wamemkamata kijana mmoja akiwa na kichwa cha binadamu alichokuwa amekihifadhi ktk mfuko wa nailoni. Kijana huyo alifika katika viunga vya benki hiyo na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kabla sijasema ninachokikusudia, naomba niwatakeni radhi kwa vile inaweza kuwagusa baadhi ya wana JF moja kwa moja.Siyo kusudio langu kumuudhi mtu lakini kiungwana unapoona jambo na likakusumbua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Reports from china are indicating that certain chinese companies are now mass producing and selling fake rice.The manufacturers are blending potatoes,vegetables and plastic industrial resin to...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Wana JF, Kuna Hacker ameingia jamvini na tayari ameshatuma ujumbe kwa watu 33, zote zina mantiki mamoja. Ujumbe wenyewe ni huu: Hello, My greeting to you My name is Shania, single and never...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Written by jaluo // 16/03/2011 // Habari // 2 Comments www.butiama.podomatic.com/player/web/2006-12-17T03_43_34-08_00
0 Reactions
2 Replies
4K Views
18th March 11 Religious institutions to be asked to build high schools Felister Peter Religious institutions will be encouraged to concentrate on building ‘A’ level secondary schools...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
16 March 17 2011 The second Tanzania Women of Achievement Awards organised annually by Frontline Porter Novelli, climaxed on a high note with a grand award presentation gala held on the...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom