How I made over 36,000/- US$ per month

Status
Not open for further replies.

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
406
89
Ndio yawezekana kabisa kuingiza zaidi ya kiasi hicho kwa mwezi,

Je ungependa kujua ni jinsi gani hilo lawezekana?
Ikiwa wataka kujua click hapa,
Karibu sana.
 
Ndio yawezekana kabisa kuingiza zaidi ya kiasi hicho kwa mwezi,

Je ungependa kujua ni jinsi gani hilo lawezekana?
Ikiwa wataka kujua click hapa,
Karibu sana.

Dah! mkuu, mbona nakuona umefulia tu mkulu, au ndy chaneli ilikata?
Halafu unagongea kwa washkaji wakupe elfu 50 ili uwape siri ya pesa?!!!! mwe! KAAZ KWELLI KWELI!
 
Mara click hapa..mara jaza fomu hii..na baadae ile...! Hivi hiyo biashara haiwezi kuelezewa moja kwa moja bila kuzunguka?
 
acha ujiiiiiiiiiiiinga ! tanzania hihiiiiiiiiiiii ya kikwete na lowasa jaribu wengine pambafuu mkubwa wewe!
 
Hizi scam naona sasa zimehamia bongo nikupe jina langu email yangu ili ukaniibie benki hujanipata bado. Kama kazi yake unatengeneza hizo pesa tangaza watu waaply tutume CVs zetu sio kutaka Identity zetu wakati wewe hatukujui . Hizi scam waungwana angalieni msije kulizwa mkalalamika
 
Jaribu Forum nyingine.....

maana hapa kuna wengi hawata kubaliana nawe.....
 
Mara click hapa..mara jaza fomu hii..na baadae ile...! Hivi hiyo biashara haiwezi kuelezewa moja kwa moja bila kuzunguka?

ha ha ha ha! kwi! kwi! kwi! kaka bora umemwambia ukweli, manake haya ndio mambo ya mtu anakwambia anataka akupe kazi lakini ili akufanyie interview anataka ulimpe kwanza laki moja aagh! wizi mtupu!
 
ha ha ha ha! kwi! kwi! kwi! kaka bora umemwambia ukweli, manake haya ndio mambo ya mtu anakwambia anataka akupe kazi lakini ili akufanyie interview anataka ulimpe kwanza laki moja aagh! wizi mtupu!

Hii si kazi mkubwa ni utapeli (scam) wewe toa identities zako ukaliwe hela ndio utajua eti ICT nani sio dunia hii labda kwengine
 
Ndio yawezekana kabisa kuingiza zaidi ya kiasi hicho kwa mwezi,

Je ungependa kujua ni jinsi gani hilo lawezekana?
Ikiwa wataka kujua click hapa,
Karibu sana.

Junior Member

Join Date: Mon Nov 2010
Posts: 8
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post

Yaani kajiunga JF ili atambulishe huo upupu wake halafu apotee! watu wengine bwana, sijui kakutana na wapopo (wanaijeria) ndio wamemfundisha huo ujinga sasa anataka kufanya experiment kwa great thinkers, anajua akifanikiwa hapa basi atakula vichwa vya wajinga wengi....my broda am veri sori for you, it won't work!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom