Kwa Wataalam wa magari

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,724
12,087
Ivi inakuaje spidi ya gari mfano starlet ikiwa kwenye 100km/h inapitwa na basi kubwa ambalo lipo 80km/h.

Kama ishu ni gear box revolution,,sasa speed ipi ndo correct?
 
Kuna vitu vingi vinachangia lakini kubwa zaidi ni kwamba speed meters za mabasi japo zinaonyesha max speed kuwa 80km/h lakini zinaenda speed kali sana zaidi ya hapo. Sababu nyingine momemtum ni tofauti kati ya gari kama starlet na basi, mfano ukizishusha pamoja kwenye mteremko zikiwa na neutral gear lazima basi litaenda kasi zaidi...
 
Mi nadhani inatofautiana katika Turbo.
Both satrlet na basi yana turbo lakini uwezo wa turbo ya basi ni mkubwa kuliko ya starlet.
soma hapa chini kuhusu Turbo.

A turbocharger, or turbo, is a gas compressor that is used for forced induction of an internal combustion engine. A form of supercharger, the turbocharger increases the density of air entering the engine to create more power. A turbocharger has the compressor powered by a turbine which is driven by the engine's own exhaust gases rather than direct mechanical drive. This allows a turbocharger to achieve a higher degree of efficiency than other types of forced induction compressors which are more vulnerable to parasitic loss.
 
Ivi inakuaje spidi ya gari mfano starlet ikiwa kwenye 100km/h inapitwa na basi kubwa ambalo lipo 80km/h.

Kama ishu ni gear box revolution,,sasa speed ipi ndo correct?

Kaka hili ni swali la kifizikia au mechanics zaidi. Mwendokasi ni mwendokasi tu, si speedometers zote zenye kusema ukweli, kuna factors nyingi tu ambazo zinaharibu factory calibration ya speedometers kama vile size ya matairi na engine speed limiting. Njia pekee ya kuwa na una hakika ni kuwa kutumia GPS kupima mwendokasi wako. Na pia si kila chombo kinachoandikwa 180km/h kama spidi ya mwisho kinafika huko kweli ingawaje mshale wa spidi utaweza kukudanganya. Hii ni common practice kwa ndugu zangu wa pikipiki
 
Jamani lets be scientific kidogo,si kweli kwamba speed 80kms/hr ya Basi ni kubwa kuliko 100km/hrs ya starlet.Hebu tuone tafsiri ya hizo speed,80KM/HRS maana yake hilo gari kwa muda wa saa 1 litakua lime cover KM 80 so kama uendako ni km 80 na utaweza kumaintain hiyo speed saa 1 itakutosha kufika hapo uendapo.Na kama speed yako ni 100km/hr maana yake wewe ndani ya saa 1 uta cover 100kms.So kama safari yako ni km 80 kama yule wa mfano wa kwanza wewe utatumia dakika 48 tu kufika na sio saa 1 nafikri mmenisoma hapo.Ndio maana kwa usafiri kama wa ndege ambapo n rahisi kumaintain speed kipimo cha per hr kinakua na maana kubwa na pilot anaweza kujua kabisa safari yake itachukua muda gani kwa kuzingatia umbali na speed atakayo tembea.

Ila sitofautiani na mchangiaji mmoja hapo juu kwamba gari kubwa lina momentum kubwa zaidi kuliko dogo ndio maana kwenye mteremko magari yote yakiwa neutral ni wazi gari kubwa litakua na speed zaidi shauri ya impact ya mass yake.
 
you've nailed it!
 
Mkuu umemaliza, Mwisho wa mjadala. The good thing about science ni facts are just facts, a good opinion can neva be a fact! Nadhani watu wamechanganya na ile mijadala ya form four ya zamani sawa na form six ya siku hizi hahahahaha!!!!!!!!!
 
Mkuu wewe umeleta habari ya kufikirika zaidi speed niileile ila kimoja hapa nikasi momentum gari starlet na Basi kubwa vinapishana hapa,moja ina tumia cc,nanyingine inatumia HP!Na mabasi makubwa kuhesabu kwake katika ODO meter zinatumia maili/kilometer sasa inatakiwa kujua hipi kilomita kwani vyote vipo kwenye screen moja na ya mail mwisho 135 m/hr lakini ya kilometer inaenda hadi160km/hrunawezakuona gari hipo katika 60-80 ukajua ni km kumbe ni maili!
 
Msinikumbushe ile treni iliyoshindwa kupanda mlima, ikarudi nyuma kwa kasi ya zaidi ya kilometa 240 kwa saa.
Jamani lets be scientific kidogo,si kweli kwamba speed 80kms/hr ya Basi ni kubwa kuliko 100km/hrs ya starlet.Hebu tuone tafsiri ya hizo speed,80KM/HRS maana yake hilo gari kwa muda wa saa 1 litakua lime cover KM 80 so kama uendako ni km 80 na utaweza kumaintain hiyo speed saa 1 itakutosha kufika hapo uendapo.Na kama speed yako ni 100km/hr maana yake wewe ndani ya saa 1 uta cover 100kms.So kama safari yako ni km 80 kama yule wa mfano wa kwanza wewe utatumia dakika 48 tu kufika na sio saa 1 nafikri mmenisoma hapo.Ndio maana kwa usafiri kama wa ndege ambapo n rahisi kumaintain speed kipimo cha per hr kinakua na maana kubwa na pilot anaweza kujua kabisa safari yake itachukua muda gani kwa kuzingatia umbali na speed atakayo tembea.

Ila sitofautiani na mchangiaji mmoja hapo juu kwamba gari kubwa lina momentum kubwa zaidi kuliko dogo ndio maana kwenye mteremko magari yote yakiwa neutral ni wazi gari kubwa litakua na speed zaidi shauri ya impact ya mass yake.
 
gari kubwa nalo linaidiwa na ukubwa wa tairi pia, ni sawa na mtu mfupi ma mtu mrefu wakiongozana, hatuwa tatu za mtu mfupi ni sawa na hatuwa moja ya mtu mrefu. Hapo ndipo zilipo tofauti za msingi.
 
Count speed ndo kinachoongelewa ya starlet ikisoma 80 na dar exprees ikisoma 80 why dar exprees ikimbie zaidi??wapi uwiano wa hizi speed kama mimi sijakosea ndo swali la msingi!!
 
Mkuu wewe umeleta habari ya kufikirika zaidi speed niileile ila kimoja hapa nikasi momentum gari starlet na Basi kubwa vinapishana hapa,moja ina tumia cc,nanyingine inatumia HP!Na mabasi makubwa kuhesabu kwake katika ODO meter zinatumia maili/kilometer sasa inatakiwa kujua hipi kilomita kwani vyote vipo kwenye screen moja na ya mail mwisho 135 m/hr lakini ya kilometer inaenda hadi160km/hrunawezakuona gari hipo katika 60-80 ukajua ni km kumbe ni maili!

Mmh... mbona sielewi, kama tatizo ni unit of measure si uweke vyote kwenye unit moja .. just a small correction Hp inapima 'power ' wakati CC in cubic centimeter yaani inapima ujazo (1000cc = 1 litre), cc inapokuwa kubwa na HP nayo inaongezeka
 
Count speed ndo kinachoongelewa ya starlet ikisoma 80 na dar exprees ikisoma 80 why dar exprees ikimbie zaidi??wapi uwiano wa hizi speed kama mimi sijakosea ndo swali la msingi!!

Kuna ushahidi gani kuonyesha kwamba speed zilikuwa zinafanana.
 
Simpo: mabasi yamechezewa speed governor zilizotakiwa zizuie mwendo kasi usizidi km 80 kwa saa. Ikiwa sticker za usalama barabarani zinauzwa bila magari ku-chekiwa, tutegenee nini?
 
Count speed ndo kinachoongelewa ya starlet ikisoma 80 na dar exprees ikisoma 80 why dar exprees ikimbie zaidi??wapi uwiano wa hizi speed kama mimi sijakosea ndo swali la msingi!!

Mkuu apo ndo mi ninapopataka, umenail kabisa kwenye kakirungu.

Ceteris peribus matairi,ukubwa wa gari etc,,kwanini speed ndogo ipite speed kubwa? ipi iko correct?
 
Mkuu ebu cite mabasi ya nje sio ya Tanzania bse mengine yana chasis za 124 scania sasa what do u expect
To me speed ni speed tuu unless kama speedometer imechezewa
 
Mkuu mi nimefanyia utafiti kwenye haya mabasi mapya ya Yungtong Vs Starlet. Mpaka sasa sijui ipi ndo speed ya ukweli.
 
Ivi inakuaje spidi ya gari mfano starlet ikiwa kwenye 100km/h inapitwa na basi kubwa ambalo lipo 80km/h.

Kama ishu ni gear box revolution,,sasa speed ipi ndo correct?

Kwa kweli kaka jambazi swali lako limekwenda shule. Ukiangalia hayo majibu unaweza kuona kuwa watu wengine kazi yao ni kuchakachua tu. Tuzidi kuangalia majibu yanavyojili
 
Tafakarini vizuri haya mambo iwe tairi kubwa au ndogo chassis sijui ikoje unit per hour ndio inakutanisha gari kubwa na dogo kitakacho tokea hapo ni kwamba tairi za starlet zitagharimika kuzunguka mara nyingi ukilinganisha na basi ila kama zote zinasoma 80km/hrs basi zitakua sambamba isipokuwa tairi za basi zitakua na mizunguko michache zaidi. Ila zipo gari pia zina speedometer ya mile/hr sasa kwa hizo gari mile ni kubwa kwa km . Na 80mile/hrs haiwezi kulingana na 80km/hr
 
Mi nadhani inatofautiana katika Turbo.
Both satrlet na basi yana turbo lakini uwezo wa turbo ya basi ni mkubwa kuliko ya starlet.
soma hapa chini kuhusu Turbo.

A turbocharger, or turbo, is a gas compressor that is used for forced induction of an internal combustion engine. A form of supercharger, the turbocharger increases the density of air entering the engine to create more power. A turbocharger has the compressor powered by a turbine which is driven by the engine's own exhaust gases rather than direct mechanical drive. This allows a turbocharger to achieve a higher degree of efficiency than other types of forced induction compressors which are more vulnerable to parasitic loss.

Mkuu ni kweli kwamba Turbo charger hufanya gari kukimbia zaidi, lakini sio kwamba magari yote yana Turbo charger. Ingawaje sijafahamu mtoa mada ana maanisha Starlet model gani, lakini ninafahamu kua Starlet nyingi huwa hazina Turbo charger...
 
Back
Top Bottom