Malim self na madawa ya kulevya

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,510
1,195
Leo nimesikia redioni (clouds)kipindi cha magazeti kuwa malimu self amekabidhiwa ofisi na kazi zake zitakuwa
1.kuhangaikia ukimwi,
2.walemavu
3.mazingira
4. Mihadarati

hii yanne nimeiona ni mtego kwa self. Maana hii kazi unadeal na watu hatari sana. Mtoto amina alijaribu kujitoa mhanga kushughulikia hili swala muda wake wa kuishi ukawa mfupi sana na hadi leo sijasikia mtu akijitolea kushughulikia au kuongelea hili swala.
Hivi hawa wanania njema na self kweli ?
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,247
2,000

Seif siyo amina!!Seif ni makamo wa wakwanza rais na siyo mbunge hivyo kukutana na seif ipo shughuli!!ogopa mtu anayetembea na motor cade kwani juzi tu alienda buguruni wazee wa cuf eti wanataka kumkumbatia walipigwa vikumbo na usalama mpaka wakaona soo!!
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,613
2,000
...... Mtoto amina alijaribu kujitoa mhanga kushughulikia hili swala muda wake wa kuishi ukawa mfupi sana na hadi leo sijasikia mtu akijitolea kushughulikia au kuongelea hili swala.
Hivi hawa wanania njema na self kweli ?

Hivi si kweli kwamba Amina na baadae mumewe walikufa kwa 'matatizo' yanayofanana?
 
MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
847
0
leo nimesikia redioni (clouds)kipindi cha magazeti kuwa malimu self amekabidhiwa ofisi na kazi zake zitakuwa
1.kuhangaikia ukimwi,
2.walemavu
3.mazingira
4. Mihadarati

hii yanne nimeiona ni mtego kwa self. Maana hii kazi unadeal na watu hatari sana. Mtoto amina alijaribu kujitoa mhanga kushughulikia hili swala muda wake wa kuishi ukawa mfupi sana na hadi leo sijasikia mtu akijitolea kushughulikia au kuongelea hili swala.
Hivi hawa wanania njema na self kweli ?

5. Kuzindua majengo waliisahau
 
Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
834
225
[QbbbbbbbbbbbbUOTE=Ndibalema;1295296]Kwani kilimuua nini mkuu?
"Shinikizo la damu"? au?[/QUOTE]
Kisukari pamaoja na sjinikizo la damu.
 
October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
1,195
Duu ndio mambo ya Muafaka.
Wamemkabidhi kushughulikia wizara ambazo mchango wake hauwezi kuonekana ili 2015 asifurukute.
Poleni sana CUF kwa uroho
 
MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
847
0
duu ndio mambo ya muafaka.
Wamemkabidhi kushughulikia wizara ambazo mchango wake hauwezi kuonekana ili 2015 asifurukute.
Poleni sana cuf kwa uroho

hao ndio sisiem!aanze kuongelea ukimwi weee, no tiba ahubiri matumizi ya ndom
huko zenji
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,253
2,000
I only hope that Maalim and his CUF are smart enough to avoid sliding into political irrelevance.
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,536
2,000
CCM very strategic wanatak kumpotezea Seif ili asingare kuelekea 2015
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom