Mimi Mwana JF ni siku nyingi nimekuwa nikitaka kukutana na Jf hapa Moro ila sijafanikiwa kuonana hata na mmoja sasa kama mpo tutafutane jamani.
na wale wanakuja Moro karibuni sana kwenye mji...
Nimeipata hii sehemu fulani ila sijui source ni wapi na nani....lengo ni kuwa tujadili ukweli wa hizi statement.
To reflect and... act
1. The difference between the poor and rich nations...
Ndugu zangu,
Natafuta information za kampuni yeyote inayouza vifaa vya umeme wa jua kwa bei nafuu. Nataka nifunge umeme wa jua kijijini kwa sabau umeme wa TANESCO ni garama sana hasa seheu...
Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Mwanza katika pilika zake huko kwake alikuta wasamabazaji wa sukari wame hifadhi kiasi kikubwa cha sukari katika maghala yao. kama hiyo haitoshi sikusikia maelezo ya...
kuna ubunifu wa kuifunga injini baiskeli, natumaini wadau mmeshaziona baiskeli za aina hiyo. sasa baiskeli ya aina hiyo inaangukia kwenye kundi lipi kati ya magari/pikipiki ambayo husajiliwa au...
Nimekaa kimya kwa muda bila kuchangia...tangu nilipojiunga enzi ile Forum hii adhim ikiitwa Jambo Forums..tukiwa na magwiji wakiongozwa na E.S, Dr. Who, Kichuguu, Mkandara..n.k. JF imekuwa ni...
Wanajamvi naomba nijuzwe kuhusu ile mikoa mipya 3 itaanza kuoperate lini kama ambavyo watawala waliamua kutuingezea zigo la uendeshaji.Maana hii iliyopo naona kama ni mzigo pia.
Mwenye taarifa...
BWANA Richard Michael [19] Mkazi wa Ilala Maghorofani jijini Dar es Salaam, amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa kiume kwa kumuingizia pampu ya baiskeli sehemu...
WANANCHI wa Kata ya Mwakibete jijini Mbeya wamekuja na ufumbuzi wa michango kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa shule za sekondari, lakini Mkuu wa Wilaya hiyo, Evans Balama, anawaona ni...
Wanamuziki wa kundi la Five Star Modern Taarab walionusurika kwenye ajali wameeleza kuwa vishawishi na masikhara kwa dereva ndivyo vyanzo vikuu vya ajali ile mbaya iliyowaua wenzao 13...
Heshima Wakuu,
Maajabu na uwezo wa Mungu hayaishi. Ninawawekea picha na wale watakaopenda kusoma habari yenyewe link ni hii: Baby With 1 Eye and No Nose Born in India, Survives 1 Day
Waziri Sophia Simba amekanusha kutoa tamko la kushutumu Chadema kupata misaada wa fedha kutoka nchi za nje kwa ajili ya kuleta machafuko nchini.
amesemea
- hajui shutuma hizi zimetokea wapi, na...
Jeshi la polisi limezuia maandamano ya kupinga uvamizi wa coalition forces yaliyotakiwa kufanyika kesho
source-tbc
My take-Naona serikali imeona ni bora kuzuia la sivyo itatucost as taifa kwa ujumla
Your brain, just brighter.
Improve brain health and performance.
Brain training produces real world benefits
Enhance memory, attention and creativity
Easy, web-based...
Habari wanaJF, hivi majuzi nilimsikia waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira akizungumzia kuwa kuna mkakati unaoitwa MKUHUMI au kwa kizungu REDD ambao lengo lake ni kuhamasisha wananchi...
Polisi wawili mkoani Mwanza wanashikiliwa mahabusu baada ya kutwangana makonde na kuumizana wakigombea kilo 30 za mihadarati.
Watu walioshuhudia tukio hilo wanasema lilitokea juzi saa 7.30...
Hii imenitoke tarehe: 21.03.2011 saa: 1437hrs.
Nilifika eneo la Bank hiyo muda huo kwa lengo la kuchukua pesa kweny Mashine pesa {ATM}zilizopo nje ya jengo hilo kamailivyo kawaida.
Awali...
Imebainika kuwa wanafunzi wengi katka vyuo vyetu nchini wanajihusisha na ghiliba/ujanjaujanja wakati wa mitihani mbalimbali au kazi wanazopewa na walimu wao,wapo wasiojihusisha kabisa na kazi...
Habari,
Katika hali ya kawaida kabisa inafahamika Katibu mkuu ndio msimamizi na msemaji mkuu wa chama. Lakini kwa CUF ni tofauti sana hasa wanapotoa kazi hii kwa naibu au mwenyekiti. Mi siijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.