Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 335
Wana JF naomba kuuliza hivi Majimbo yanayochagua wabunge ambao ni Wahindi au Waarabu kama Singida mjini,Igunga au Ilala huwa hakuna Watanganyika wenye sifa za kugombea au huwa inakuwaje? Naomba nisionekane mbaguzi ila nauliza tu maana najua ni vigumu sana kwa Mndengereko wa Rufiji au Msafwa wa Mbarali kuwa Mbunge Mumbai au Qum.