Ya zain kubadilika badilika mara kwa mara inaashiria nini...?

Mporipori

Member
Nov 22, 2010
44
0
Salaam wana JF,
Nataka kujua juu ya kampuni hii ya simu;
Iliingia nchini kama Celtel, mwaka 2008 ikabadilika na kuwa zain nayo inasemekana baada ya kuuzwa, sasa hivi imebdilika na kuwa airtel baada ya kuuzwa tena kwa Bharti group ya huko india...
Kubadilika badilika huku kunamaanisha nini..? Mchango wenu wajumbe
 
salaam wana jf,
nataka kujua juu ya kampuni hii ya simu;
iliingia nchini kama celtel, mwaka 2008 ikabadilika na kuwa zain nayo inasemekana baada ya kuuzwa, sasa hivi imebdilika na kuwa airtel baada ya kuuzwa tena kwa bharti group ya huko india...
Kubadilika badilika huku kunamaanisha nini..? Mchango wenu wajumbe
ni sawa na mtu kuwa na daladala na baada ya muda akaamua kuiuza kwa sababu zake..........
 
But kwa nini alwayz hii inatokea ndani ya miaka mitano, na tunajua kwa sera ya kuvutia wawekezaji Tanzania; makampuni huwa yanapewa miaka mitano tax free operation?
 
Nadhani kwa kuwa wametuona tuko usingizini that's why wanatupiga mabao. Miaka 5 ikiisha wanajifanya wanauza kumbe ni wale wale wanajinoma tu na hiyo misamaha yenu ya kodi.....Mungu awape nini ni kula tu!!:hungry:
 
Na watakula kweli ukizingatia usingzi wa walinzi wetu (Viongozi) ni mkubwa sana., mpaka washtuke na kupitia upya policy zao mjukuu tayari atakuwa amekua babu...
Kwani huwa hawafikirii pocibility ya kutokea mambo kama haya before?
 
Kampuni bado ni Celtel, ndiyo iliyokuwa registered na mikataba yote inafanywa kwa jina hilo wala sio Zain au Airtel. Hizi ni brand tu!!!
Ni kweli imeuzwa ingawa sio TZ tu, ni kwa nchi zote 14 za Afrika na sio kama hata hizo nchi zina sheria za grace period ya miaka mitano kama sisi.
 
Back
Top Bottom