SERIKALI imeombwa kumfukuza kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Musoma Vijijini, Karaine ole Kunei kwa madai ya kutoa zabuni ya upendeleo ya kusafirisha chakula kutoka Ghala la Taifa mkoani...
napenda nchi yangu tanzania ukiwa na hela kama new york Unaweza kulewa kustarehe kuchukua bwana kutembea kufanya chochote bila kuogopa kwenda beach kufanya mambo fulan kwenye garish
MADIWANI katika Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoa mpya wa Njombe wamkataa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Hilda Lauwo kuwa hana uwezo wa kuongoza Halmashauri hiyo. Sura hiyo ya...
Antony Lusekelo (Mzee wa upako) anawauliza hivi:
1. Mchakato wa Katiba mpya mlionekana kurasa za mbele za magazeti na kofia (viongozi wa dini kubwa kubwa-kwa maneno yake) , sasa watu wnakufa mbona...
Kutoka na nchi uetu inavyoendeshwa tunahitaji kurudisha mali zote za mafisadi kwa wananchi wa tanzania.......inaniuma wajameni mnipe nchi kabla ya 2015.............
Raisi wa zamani wa Urrusi Mikail Gobachev ansifa zote za kuwa mtakatifu. Ukikumbuka kwa jinsi gani siasa za kikomunisti au ujamaa na kujitegemea zilivyokuwa zinasumbua watu katika nchi zao. Huyu...
FARAJ KATALAMBULA KUZIKWA MKOANI TABORA
Aliyekuwa mtunzi mahiri wa vitabu vya hadithi na riwaya nchini Tanzania
marehemu Mzee Faraj Katalambula (kulia) anatazamiwa kuzikwa kesho
Isevya mkoani...
Pinda keshafanya yaliyo ndani wa uwezo wako..sasa na wewe tunakatakujua kuwa huyu waziri aliyelidanganya bunge tukufu kuwa hali ni shwari huko mahospitalini ili hali watu walikuwa wanakufa...
EMBU FIKIRIA UNAMKUTA BABA YAKO KIFUA WAZI HIVI MBELE YA WATOTO WENZAKO WA KIKE
UNAHISI NINI ??SORRY KWA NTKAOWACHOMA NAJARIBU KUWASAIDIA HAWA WATU WAWE NA HESHIMAKWENYE
UMATI WA WATU
Haya ni maneno ya kikwete mwenyewe kwenye hekaheka 2010,
hakika jamaa ana uwezo mkubwa wa kuelewa mambo yanayohusu
sheria na ndiyo chemichemi ya mabadiliko ya katiba mpya,anajua kujenga
hoja za...
Napenda kuuliza hama tujadiliane kwa nini watanzania wanakufa sana na mapema hadi inafikia hataua unaanza kuogopa sasa itafikia kuona mtu anafikisha umri wa miaka 70's inakuwa inshu sana.kwa nini...
WE HALIMA MDEE SISI TULIKUPELEKA BUNGEN KUCHEZEA IPON NA FACEBOOK WAKATI WAZIRI MKUU ANATOA HOTUBA?? AIBU,KAMERA INAKUGANDISHA WEWE TU UNACHATI NA KUSINZIA..........mods msije mkaondoa hili bandiko
Kuiga kwingi mwisho kuchamb... hii kauli ya UN ya kuwezesha wanawake hata pale wasipoweza ili tu, tuiunge mkono hoja ya kishetani ya UN imekuwa janga kwetu hapa TZ. Angalia wanawake wooooooote...
Mkurugenzi mkuu bima ya afya naye amfwate nyoni,
Amesababisha kushuka kwa morali ya utumishi kwa Wafanyakazi wa Mfuko wa bima ya afya kwa kuwatengenezea nidhamu za woga kwasababu akikosolewa...
wakuu
Hawa member wamepotea ghafla hapa jamvini kulikon?inawezekana ni Id za mtu mmoja?'umegundua hilo?je hawa watu wanaweza kuwa na uhusiano fulani??au je ni kweli ni wafanyakazi wa Nape kama...
Picha kushoto
Umati wa wanaCHADEMA wakiwa kwenye maandamano yao mwaka jana (hapa ni Iringa)
Picha kulia
Umati mkubwa sana wa wana CCM wakitembea kwa mshikamano juzi wakati wa maadhimisho ya...
Nyoka amtoa baru mbunge
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri, alitimua mbio kunusuru maisha yake na waumini wa Kanisa la Kiinjili la...
Wanajanvi,
hakuna kitu ambacho kinalitafuna hili taifa kama wizi na ubadhirifu wa mali na pesa za umma.
Mwaka 2011 January 24 ajira za walimu zilitoka na walaka kuwa mwalimu wa shahada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.