Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kukaa kifua wazi hivi unatufundisha nini dada zetu wa afrikasana/las v | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kukaa kifua wazi hivi unatufundisha nini dada zetu wa afrikasana/las v

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 10, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  EMBU FIKIRIA UNAMKUTA BABA YAKO KIFUA WAZI HIVI MBELE YA WATOTO WENZAKO WA KIKE
  UNAHISI NINI ??SORRY KWA NTKAOWACHOMA NAJARIBU KUWASAIDIA HAWA WATU WAWE NA HESHIMAKWENYE
  UMATI WA WATU
  [​IMG]
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Mkuu hivi hakuna dress code serekalini ?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Mi sidhani nitamlaumu huyu mzee moja kwa moja namlaumu haswa mkewe sababu kisheri wakristo tunamini kifua cha mumeo ni wewe pekee ndie mwenye kukiona na kukichezea sasa hivi kuviweka hadharani inaleta picha si nzuri kwamba yoyoyte ruksa kukia approach...so mama alitakiwa kumwangalia mumewe kabla ajaondoka hiko kifua mzee unamwachia nani hivyo.....
   
 4. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Anaonesha manyoya yake!
   
 5. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  alikosea,alitakiwa kuvaa t-shirt kwa ndani..
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  ukumbuki hata huyo mzee wa aliekaa nae pembeni jf ndio tuliwakumbusha serikali wakaanza kumpiga sop sop unamwona anavyowaka saa hizi mpwa ..lazima tuwafunde hawa sio wanaamkia tu majumbani bila kuangalliwa hapa naweka lawama zote kwa mke wa kwanza ...kwa nini usimwambie mzee vipi kati ukiona mtu anaona mpaka yale manyoa ya bata ya kati ujue mtoto wakike huko sehemu shehemu shehemu hana hali tena kwa nini tuwatie ma dk wetu kwenye....matamanisho jamani kwanza alikaaje kwenye mkutano hivyo
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Dada mmoja hapa ofisiini kaona anasema dahh babu ana manyoya mazuri kweli hayo anatambaa nayo mpaka kwenye jicho nkasema astkaffulillahi labirahaminiiiiiiiiii
   
 8. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani dar joto!
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Dressing code ipo lakini imezingatia mavazi ya hatari kama yanayoonyesha makalio, makwapa na mapaja. Vifua inaruhusiwa kuacha wazi. Mavazi hayo ni tishio kuliko performance!
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Ndo ustaarabu wa watu wa pwani huu!! - - - - -source: FF
  alitakiwa chini awe amepiga msuli........ukipeperushwa na upepo unaona busha!!
  [​IMG]
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Ama kweli kila mtu na mtuwe! Mie ananitia kinyaa na aibu!
   
 12. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakati wa ujana wake inawezekana hakucheza michezo yote na kuimaliza.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Huo wa kifua wazi unaitwaje mpwa nimejaribu kuangalia kamusi ya michezo wa kufungua kifua sijauona
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,577
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  c ndio hiyo ya meck sadick sasa
  ndo itakuja kuwa vazi la taifa la kinababa
  wa tz kasoro rangi tuuu

   
 15. King2

  King2 JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kikwete sijui kamuokota wapi huyu! Elimu yake niaje.
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Anaonyesha Garden Love
   
 17. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  Huyu mzee alipiga gym enzi za ujana wake, na bado anapiga nondo pale genesis knyama ,sasa mnamlaumu nini?
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  mwanazuoni utamkoma
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  wamekomalia tu kuwasakama wadada na wamama
   
 20. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  aaaaaagghhh angekuwa iran ni viboko tu hana mke wa kumwambia au basi wasaidizi wake.Taratibu iko siku utamwona kifua wazi
   
Loading...