huko India kuna mambo sana....sijui kwa nini...
Kwa hiyo mkuu katika kuoana watu wenye uhusiano wa damu, unadhani ndiyo sababu ya kuweza kutoa pacha kumi na mmoja kwa mpigo?Kwa kiasi kikubwa inachangiwa na mila zao za kuoana watu walio karibu sana kijenetik(genetically)kv kaka dada,binamus mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo n.k..
Kwa kiasi kikubwa inachangiwa na mila zao za kuoana watu walio karibu sana kijenetik(genetically)kv kaka dada,binamus mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo n.k..
An Indian woman has just broken the world record after she gave birth
to eleven babies at once. Congratulations!!!
hii ni balaa.... hilo bao lazima lilikua electronic....An Indian woman has just broken the world record after she gave birth
to eleven babies at once. Congratulations!!!
hapo nyuma ya picha inaonesha ni test-tube baby centre
sio wakunjunjana hao
thanksyou are among the 5 percent of talented people. Wengine tungeshabikia tu!