Napenda kuuliza hama tujadiliane kwa nini watanzania wanakufa sana na mapema hadi inafikia hataua unaanza kuogopa sasa itafikia kuona mtu anafikisha umri wa miaka 70's inakuwa inshu sana.kwa nini Tanzania??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.