Rejao, Ritz, Omr & FF

Status
Not open for further replies.

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
wakuu
Hawa member wamepotea ghafla hapa jamvini kulikon?inawezekana ni Id za mtu mmoja?'umegundua hilo?je hawa watu wanaweza kuwa na uhusiano fulani??au je ni kweli ni wafanyakazi wa Nape kama ilivyodaiwa hapa jamvini??labda wamechoka na kibarua ambacho hawapendi ila wanasukumwa na nguvu ya pesa??mimi nawafatilia sana japo sio kila wakati''inawezekana vipi wapotee kwa pamoja??
 
ff alipigwa ban akaja na Id ya JF-BAN1 zikaunganishwa kwenye ban, Rejao ye yupo anazurura kule chit chat, ritz nae yupo ila omr amepotea kitambo sana!
 
ff alipigwa ban akaja na id ya jf-ban1 zikaunganishwa kwenye ban, rejao ye yupo anazurura kule chit chat, ritz nae yupo ila omr amepotea kitambo sana!

hahaha
kumbe rejao mzururaji sio.chitchat c kule mtu
ukiwa na hangover unamalizia??
 
wakuu
Hawa member wamepotea ghafla hapa jamvini kulikon?inawezekana ni Id za mtu mmoja?'umegundua hilo?je hawa watu wanaweza kuwa na uhusiano fulani??au je ni kweli ni wafanyakazi wa Nape kama ilivyodaiwa hapa jamvini??labda wamechoka na kibarua ambacho hawapendi ila wanasukumwa na nguvu ya pesa??mimi nawafatilia sana japo sio kila wakati''inawezekana vipi wapotee kwa pamoja??
Watarudi baada ya uchaguzi wa kule Visiwani, wanachapa kazi kwanza.
 
Ngoja uchaguzi wa Arumeru ukaribie utawaona humu kwa kasi zote. Unajua CCM huwa wanawatumia hawa kwa propaganda but recently hakuna ishu yoyote ya maana kuwalipa hawa jamaa ndo Nape akaamua kuwapotezea. Najua huku waliko wanatamani sana CDM waitishe maandamano ya Nguvu ya Umma ili warudishwe kwenye payroll.
Rejao yeye kaamua kuitumikia tamaa yake ya warembo kaamua kushinda nao kule chit chat anachat nao na kuwa PM bila ujira wowote.
 
wakuu
Hawa member wamepotea ghafla hapa jamvini kulikon?inawezekana ni Id za mtu mmoja?'umegundua hilo?je hawa watu wanaweza kuwa na uhusiano fulani??au je ni kweli ni wafanyakazi wa Nape kama ilivyodaiwa hapa jamvini??labda wamechoka na kibarua ambacho hawapendi ila wanasukumwa na nguvu ya pesa??mimi nawafatilia sana japo sio kila wakati''inawezekana vipi wapotee kwa pamoja??

Unachokoza nyuki weye..!!!
Wasubiri watakuja sasa hivi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom