... wakiwezeshwa wanaweza, hii ni kauli mbovu hapa TZ, waone Blandina, Makinda, n.k | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

... wakiwezeshwa wanaweza, hii ni kauli mbovu hapa TZ, waone Blandina, Makinda, n.k

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danniair, Feb 10, 2012.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuiga kwingi mwisho kuchamb... hii kauli ya UN ya kuwezesha wanawake hata pale wasipoweza ili tu, tuiunge mkono hoja ya kishetani ya UN imekuwa janga kwetu hapa TZ. Angalia wanawake wooooooote waliowezeshwa kwenye nyazifa wasivyo weza,, mf A. Makinda, sasa tuna Blandina, mwingine ni yule "Mtambuka", Mkuu wa mkoa Tabora, nk. jiulizeni wanafanya nini?
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Hili ni Janga la Kitaifa!!
   
 3. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Usituchanganye wote na hao walioshindwa kwani wengine tunaweza kwa kujiwezesha, ni sawa nanyi wanaume mmeshinda mangapi mbona nchi inayumba kama mlevi?
   
 4. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hii ni fallacy of ganeralization mkuu, na ni mbaya sana. Siyo wanawake wote wanaowezeshwa wakashindwa, wanawake wanaconstructive ideas sana. Mfano dada yetu Regia (RIP), Ananilea Nkya, Halima Mdee na wengine weeeengi.
  Halafu wote wenye poor perfomance siyo wanawake mkuu, Mfano Mkuu Baba Mwanaasha nae kwani ni mwanamke?
  TUWATENDEE HAKI MAMA NA DADA ZETU.
   
 5. D

  Danniair JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmewafunua mkawaona ni safi? Bila kuwafunua hamwezi kuwasafisha. Ananelea Nkya nani anajua anachokitafuta?
   
 6. D

  Danniair JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tunaanza na Nyoni
   
 7. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na mwenyekiti wa ccm alisema anataka 50% ya wanawake kwenye uongozi ngazi zote uchaguzi mkuu 2015.
   
 8. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mkoa wa Tabora ni mdogo wake bwana mkubwa.....anamlinda na kuhakikisha anatoa ngoma juani!!!shule pale hakuna ,mikoa yenye challenge za ajira na umasikini wa kupindukia wapeleke watu wenye uwezo sio kuweka wabebwa mbeleko!!
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Twende hatua kwa hatua: mdee ameweza nini?
   
 10. D

  Danniair JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilichoona ijumaa jioni kupitia TV, Mdee ameweza kuwadhalilisha wapiga kura wake kwa kwenda kutumia i-phone/ or some thing of the like bungeni (mahali tunapopaheshimu pasipoingiwa na rais au mtu yeyote ila kwa kibali maalum) wakati mtendaji mkuu wa serikali akitoa hotuba ya kuahirisha bunge. Hotuba ambayo ni muhimu sana inayotoa majumuisho ya kikao ambayo ikitumika vizuri na wapinzani inaleta maendeleo. Yeye hasikilizi ila anasubiri kufuata upepo wa Mbowe kutoka kikaoni na kuvuta posho kimya kimya. Inanipa wasi wasi kama tutajipatia viongozi wasio wa aina ya Blandina toka ktk chama hiki tunachofikiria kiasaidia kutusogeza mbele.
   
 11. D

  Danniair JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunajua kabisa 'kawezeshwa'si alikua mlinzi wa Salma. Kiongozi gani hajui kuwa Mkandarasi hafanyi kazi!!!!!???? Ktk uongozi wa Mkoa wale wote ambao serikali inawapa pesa nyingi kuendeleza miradi ndio ambao kabla ya kulala unahakikisha una ratiba zao za utekelezaji. Lakini huyu Muwezeshwaji ansubiri hadi wana nzengo waje kumlilia ndipo ashituke.
   
 12. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni slogan ya Freemasons ambayo wameieweka midomoni mwetu.Wanaowawezesha ni wao kwa nia mbaya ya kubadilisha mpango wa Mungu wa mwanaume kuwa kiongozi wa nyumba.
   
 13. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mwaka 2015 viti maalum havitakuwepo. coz kwa utaratibu huu tungehitaji kuongeza ukubwa wa jengo au viti ili idadi ya wanaopewa viti vya kubebwa/viti maalum watoshe mjengoni.
   
 14. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu wa mkoa TBR ana MBA nilimwandikia thesis yake!!
   
Loading...