Ni heri Dr.Slaa aingie ikulu kuliko Tundu Antiphasi Lissu aingie bungeni by Kikwete 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni heri Dr.Slaa aingie ikulu kuliko Tundu Antiphasi Lissu aingie bungeni by Kikwete 2010

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOB SEEKER, Feb 10, 2012.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ni maneno ya kikwete mwenyewe kwenye hekaheka 2010,

  hakika jamaa ana uwezo mkubwa wa kuelewa mambo yanayohusu

  sheria na ndiyo chemichemi ya mabadiliko ya katiba mpya,anajua kujenga

  hoja za msingi zenye maslahi ya kitaifa na utanzania kwa ujumla !

  mwanasheria mkuu wa serikali anabakia msindikizaji tu,tunashukuru sana kwa

  mchango wako katika hili pasipo kuwasahau mnyika,kabwe,mboye,slaa,wenje

  na chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema)
   
 2. J

  Jonas justin Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante..
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna kitu hapa
   
 4. N

  Ndole JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bali kuna nini?
   
 5. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,172
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha nini? Hivi hakuna jukwaa la shukrani? Kila kitu Siasa! JF ina bore sasa.
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0

  Tuletee source ya hii habari..... vinginevyo uongo hapa hautakiwi
   
 7. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana kwenye mjadala wa jioni mama Kilango kanichekesha sana, anatamka huku mate na macho yamemtoka "KWANZA HOJA YAENYEWE HAINA MSHIKO" naomba wabunge mniunge mkono,
  Zito alipofafanua kuwa mabadiliko aliyoyapendekeza alikuwa kayafuta mwenyewe mimacho ikamtoka,Spika alipobaini kapotezea kiaina,kweli tuna wabunge.
   
 8. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ndani ya bunge hakuna
  kama tundu lisu kwa
  upande wa sheria.
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Sawa kabisa
   
 10. All TRUTH

  All TRUTH JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  hatuna wabunge!
   
 11. S

  Shembago JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tindu mwana wa Lissu ni Noma,Yeye hakuwa anadesadesa na alipenda Sheria hakwenda huko bora liende kama wengi wanavyofanya hivi leo.
   
 12. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,815
  Likes Received: 17,935
  Trophy Points: 280
  ni kivipi unachukia majungu
   
 13. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,815
  Likes Received: 17,935
  Trophy Points: 280
  mi nachomini huyu bibi ni mzuri wa kupiga makelele, sio kivile sana kwenye hoja,i hope hakuwani kukosekana kwenye majina ya wapiga kelele huko skul
   
 14. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hakuna kama tundu lisu ni sawa na wabunge wote wa ccm akisimama bunge zima linatikisika huyu bwana ni kichwa wasije tu wakamwekea sumu kwenye microphone yake awe makini.
   
 15. SOTI

  SOTI Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  hawa jamaa kweli wamejipanga.napenda sana ushirikiano wake na zito kupanga hoja. wote mtakubali kuwa hawa jamaa kwenye hoja muhimu wanajipanga kikwelikweli.hongereni kaka
   
 16. r

  rombo Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  namkubali sana Tundu Lissu lakini siyo kwamba hakuna kama yeye kwenye bunge kwa upande wa sheria,fact ni kwamba actions za Tundu Lissu ziko ki-Advocate zaidi,kwa sisi tunaofanya kazi mahakamani tunanjua jinsi maadvocate wanavoact so as to convice the mass,ila majaji siku zote wanatumia upeo mpana wa kutafakari na busara na ndo maana hawatishiki na mbwembwe za maadvocate,Lissu is just an Advocate,Mwanasheria mkuu wa serikali ni Judge mstaafu na ndo maana approach yake kwa siku ya jana ilikuwa very difference n he based on the facts na siyo in politics as Lissu and other fellows were doing.
   
 17. I

  Imurumunyungu Senior Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ndo nothing kabisa.Umeangukia pua.
   
 18. k

  kicha JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  kweli upenzi ni zaidi ya ukweli , pmj na hbr kutkua na sosi watu wanajadili kwa hisia kali, hata wale nnaowaheshim kwa michango mizuri humu jamvini leo wameonesha true kala yao, kumbe wengi wenu ni watiifu wa vyama kuliko sifa ya kua hapa jamvini, kwa kiasi nimeshusha heshma nlokua nikiwapa
   
 19. T

  Tata JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,744
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kutujulisha kuwa unafanya kazi mahakamani. Vinginevyo sioni hoja ya msingi uliyoijenga hapa.
   
 20. T

  Tata JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,744
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Kuanzia leo acha kuheshimu majina ya wachangiaji heshimu michango inayotolewa bila kujali jina gani limetoa michango hiyo.
   
Loading...