Wandugu wapendwa kwanini Jf tusimteue Rais wetu?
Tuwe na wabunge wetu ambao tunawachagua wenyewe.
Mawaziri wetu ambao tunawachagua kufuatana na upeo wao.
Ma Polisi wetu ambao watawakamata wote...
Tangu rais kikwete aingie madarakani viongozi mbalimbali serikalini wamekumbwa na tuhuma mbalimbali hadi kufikia wananchi kutaka viongozi hao wafukuzwe madarakani na rais, lakini hakuna...
Imethibitika nchini kenya wanaume wengi wanapigwa na wake zao ndani ya familia. Kati ya waliohojiwa ni 30 percent tu wamepigwa kwa kutotimiza majukumu ya kifamilia na ulevi wa kupindukia. Asilimia...
Wakuu salaam,
Nimejaribu kutafakari mwenendo mzima wa taifa letu na matukio kadhaa ambayo yamelikumba taifa letu kufikia sasa na hasa haya ya hivi karibuni bado nabaki na maswali lukuki kichwani...
Tuwe na wivu wa ajira tulizo nazo tunataka ajira nyingi ziende kwa watz. na tunataka hicho kitengo kinachotoa vibali vya ajira kiangaliwe sana kuna kitu huko
.haya maneno yamesemwa na John Cheyo
Habar wana JF!
Hivi nmakosa kama rafiki yangu hamjui Mh Lissu ..kisha nikamtumia picha yake?
- Mbona wikipedia hakuna picha ya rais wa pili wa Zanzibar?
Je kama mie ninayo naweza kuwatumia...
Wasalaam wana JF!
Bara la Africa linasifika kwa matumizi ya nguvu za giza katika michezo mbalimbali hasa hasa ktk mashindano ya mpira wa miguu ( soccer).
Timu nyingi za Africa ya Magharibi kwa...
Chadema mkaze buti mwaka 2015 kuiiondosha CUF zanzibar kura mlizopata UZINI ni dalili tosha kuwa nyie mtakuwa chama kikuu cha upinzani zenj na mgombea wenu wa urais awe HAMAD RASHID CUF kwishney!!
Hapa Moro siijui ni kwangu tu ITV,Channel Ten, EAST Africa TV , Star TV zimepotea hapa nimebaki na TBC ambayo hakika Taarifa zake hunikera sana kwani huwa ni zile wanazotaka wao......hata Channel...
diwani wa kata ya kijitonyama bwana juma uloleulole[chadema] jana alikamatwa na polisi kwa kosa la kujaribu kubaka mpaka muda huu bado yuko lockup ya kituo cha polisi kijitonyama mabatini:eyebrows:
Habari kuwa kiongozi wa zamani wa al-Qaeda Osama bin Laden alihusia wanae na wajukuu kuachana na ugaidi zimekuwa hit kwenye mitandao. Je ni kweli alifanya hivyo? Je aliacha mtego ili waruhusiwe...
MWADUI YAHAMIA IRINGA
Mkazi huyo wa eneo la M.R Hotel Miyomboni katika Manispaa ya Iringa ameibuka kuwa mkali wa wiki hii katika safu ya mtandao huu baada ya...
Chinese Cooking Oil Made from Sewage
The news that a tenth of all cooking oil used in China may be made from recycled sewage and laced with toxic contaminants has stunned China...
Last wiki Televisheni ya luninga ya JF, ilipata nafasi ya kumtembelea mmoja wa wanazuoni ambaye anafanya kazi Katika chuo cha Ualimu Vikindu kama Mkufunzi hapo. Siku hiyo chuo hicho kilikuwa...
Umasikini wa wananchi umeongezeka sana.
uwezo wa wananchi kununua umepungua
Biashara haziendi sawa, wafanyabiashara hawapati faida.
wafanyakazi wanapunguzwa
Biashara zinafungwa
serikali...
Naweka bayana kuwa kama ingetokea nakamata madaraka ya kuongoza nchi ya Tanzania,
ama kwa hakika jukumu la kwanza lingekuwa ni kufuta Makanisa haya yanayonyonya
watanzania walalahoi kwa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.