Kama mtaniteua kuwa raisi wa nchi hii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mtaniteua kuwa raisi wa nchi hii.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kingsimba, Feb 12, 2012.

 1. K

  Kingsimba JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 376
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kutoka na nchi uetu inavyoendeshwa tunahitaji kurudisha mali zote za mafisadi kwa wananchi wa tanzania.......inaniuma wajameni mnipe nchi kabla ya 2015.............
   
 2. D

  DATOGA Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  chukua...............bana
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Inaonekana tayari zimeshakolea mzee, nenda kapumzike ..... kesho siku ya kazi..... chonde chonde funda moja tu litakuumbua
   
Loading...