Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MKiti wa vijana CDM kaitaka serikali kutoa ripoti ya idadi ya vifo kutokana na mgomo wa Madaktari, na iwawajibishe wote waliohusika na vifo hivyo. Source: Radio 1 news. MIE NASHAURI PM AWE WA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mi nimemwona mwanasiasa huyu kwenye mkesha wa Maulid huko Mnazi Mmoja,usiku wa kuamkia leo...kavaa suti kama ya dark blue,kasimama alongside mgeni rasmi (Mohamed Gharib Bilal),Ali Hassan Mwinyi,na...
1 Reactions
119 Replies
8K Views
Waziri wa afya Zanzibar Juma Duni Haji akizungumza na waandishi wa habari Wizara ya afya Zanzibar imewaomba watu wenye uwezo kusaidia matibabu ya watoto zaidi ya 100 wanaotaka kusafirishwa nje ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mh.zitto anaongea mambo mazito sana juu ya uingizaji vitu toka nje ya nchi hasa magari,mbolea,kondomu na vifaa vingine na kazi za tbs.anasema hakuna evidence ya bidhaa feki zinazokatiliwa nchini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF. Naomba tupeane mawazo, sina uhakika kama nitakuwa correct 100%, ila nina amini kwamba you will be able to learn something thru my mistakes. Kama kuna bankers na Lawyers...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna jambo linalonitatiza na hapana shaka watanzania wengi wako katika hali kama yangu. Mkuu wa kaya ni mwepesi wa kuungurumisha msafara wake kwenda kwenye maziko lakini wakati huo huo kuwakimbia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mon, Feb 13th, 2012 Tanzania | Mon, Feb 13th, 2012 Permanent secretary in the ministry of Agriculture, Food Security and Cooperatives Mohamed Muya Tanzania will sell about 90,000 metric...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana wetu anazidi kutupa moyo na upenzi wake na yanga naona leo yuo kule front kabisa kuangalia vichekecho vya yanga na ruvu stars anyway kama waatcheza hivi na zamelek jamani tupokee msiba...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Na hii nayo tuseme wachina au kitu gani? Raw Video: Six legged lamb born in Georgia - Yahoo!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati wakazi wa Dodoma wakiwa hawajasahau tukio baya la wananchi walalahoi, kubomolewa nyumba zao na kuachwa wakiwa hawana makazi, tukio jingine baya limetokea huko Dodoma la wananchi wa kima cha...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
mimi na wanachuo wenzangu tumepanga mwisho wa mwezi huu tukatembelee mikumi national park kama sehemu ya kukuza utalii wa ndani naomba kwa mtu mwenye contact za huko anisaidie ili niweze kujua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hapo juu maelezo yanaongea leo nimeamini mpira unadunda tazameni hayo makabila vizuri,Mweene,Sunzu,Kalaba,Chisamba,C.Katongo, Lungu,Sata
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hili limekaaje abiria wa bodaboda kuvaa helmet? Sheria hii ya kulazimisha abiria wa pikipiki za kukodi maarufu kama boda boda kubadilishanabadilishana helmet sie tutaambukizana magonjwa?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msanii afufuka huko Bondeni Picha ya msanii anayedaiwa kufufuka Shirika la habari la BBC linaliripoti kuwa Mtu mmoja nchini Afrika Kusini anayedai kuwa ni mwanamuziki mashuhuri aliyekufa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii video imepigwa kwenye moja ya maduka yaliopo Mlimani city
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Jamani msinicheke kama yule shahidi wa BB huko arusha nimelazimika kutaka kujua maana ya neno hili Al qaeda?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Neno hili linatumika sana hasa kwenye medani za siasa nchini ,je ni nani hasa ambaye ndio mlengwa wa jina hili ndani ya nchi hii.? "MWANANCHI WA KAWAIDA"?? Naomba kuwakilisha!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jogoo wa Kichina ataga Moja ya majogoo...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
The three most harmful addictions are heroin, carbohydrates, and a monthly salary. Akili zako changanya na za mbayuwayu
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Dk. Batilda Burian Shahidi wa kwanza wa wadai katika kesi ya kupinga ubunge wa Godbless Lema (Chadema-Arusha Mjini), Mussa Hamis Mkanga, ameieleza mahakama kuwa Dk. Batilda Burian...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom