Baba mwanaasha unawafukuza lini hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba mwanaasha unawafukuza lini hawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Feb 9, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,798
  Trophy Points: 280
  Pinda keshafanya yaliyo ndani wa uwezo wako..sasa na wewe tunakatakujua kuwa huyu waziri aliyelidanganya bunge tukufu kuwa hali ni shwari huko mahospitalini ili hali watu walikuwa wanakufa utamtimua lini?
   
 2. t

  taranda Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena huyu alielidanganya bunge ndio mbaya zaidi
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii------sasa sio baba riz tena ni baba mwanaasha!!!!
  We...mwanaasha ongea na mshua!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,798
  Trophy Points: 280
  na hizi stori asizipuuze hali sio aongee na mshua
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwkwli huyu mtoto kamwalibia jina mzee wa kaya aisee.
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he nimeipenda hiyo....baba mwanaasha
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Bulicheka alikua anawabembeleza wazungu wawekeze kwenye nishati.
   
 8. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,084
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh teh teh! Baba Mwanaasha uko wapi?
   
 9. A

  AMKA Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Baba mwanasha kalala usingizi mpaka ashtuliwe kwa bomu ila ingekua ni kusafiri duh anavyopenda safari za nje ndo mana nyerere kampaga mambo ya nje. Akiamka haposafari ungaibuni yani hatuna raisi hapa kushney
   
 10. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  jamani mimi yule mwanaasha nimemzimia mbaya sijui mtanisaidiaje wana jf mi niko tayari kumsubiri mpaka amalize shule jamani msaada tafadhali
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Jamani mbona tunamyima raha mwanaasha wa watu??
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mwanaasha baba yake ni mkuu wa kaya kwanini tusimhoji?
   
 13. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Tumeshapata msamiati. Jf bana! Unakumbuka masaburi ilianzaje?
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  huyo baba hana jina wakuu??? why picking on a young lady?
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Waziri kaandika barua ya kujiuzulu, lakini Baba Mwanaasha amemkatalia kujiuzulu
   
 16. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  WanaJF hamumtendei haki huyu mtoto, mnatakiwa kumpa pole na kumpa matumaini kuwa bado kunafursa nyingine katika maisha ambazo anaweza kuzifuata kufanikisha malengo yake kwa namna inayofaa. Tuanche kumbeza, kumkejeli, kumzodoa na mengine yanayofanana na hayo. Anguko katika maisha sio kwenye mitihani tu. Tubadilike, tuwe watu wakupeana matumaini na njia za kukabiliana na matatizo kwa wenzetu wanaokabilana na shida.
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ritz umefulia sasa mwanaasha kakamata usukani
   
 18. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ukimtuma mtu kufanya kazi, akiikamilisha umamuadhibu?, nilikuwa naulisa tu.
   
 19. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Nenda kajitambulishe IUKLU kwa baba yake, na uangalie isije ukaambiwa kufeli kwake wewe ulikuwa unachombeza ndio maana mtoto kachanganyikiwa kaandika bongofleva hadi kupata DIV 4.

  Mimi sikusapoti kwa hili tafuta wengine mtaani kwenu wamejaa kibao.


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 20. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Tatizo Serikali haitaki kuboresha mazingira ya Elimu nchini, mimi kwa mtazamo wangu kwanza nilishtuka sana hapa JF ilipoandikwa thread kuhusu huyu Binti kwani nilitarajia kwa kuwa Viongozi wetu wanatibiwa nje kwa sababu Hospitali zetu hazina viwango hivyo hata na shule pia wanasoma nje (INDIA)

  Hongera JK na Mwanaasha kwa kuonyesha uzalendo katika Elimu. Bado na matibabu inabidi muwe na uzalendo mtibiwe Mwananyamala Hospital :A S 465:A S 465:::A S 465:


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...