Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa kweli nchi yetu inashangaza na inasikitisha pale inapotumia nguvu nyingi na rasilimali za nchi pasikokuwa na mipango maalum. Nasema hivi kwa sababun na kila mmoja wetu atakuwa shahidi katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawanipati hata kwa thumni.......leo wamefyatua hii (PRIVATE AND CONFIDENTIAL) How is your day? This is Mr. Adrian Kamala. I am writing with utmost Confidentiality and Trust confides in you...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna haja kwa serikali na wananchi kwa ujumla kuhakikisha kuwa shule zetu zinakuwa na ubora ili kukwepa kuwapeleka watoto wetu nje ya nchi kusoma. Hebu angalia hii picha katika kalenda ya...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Katika hali ya kusikitisha mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa Kinondoni na mhasibu msaidizi makao makuu CHADEMA ambaye alitambuliwa kwa jina la Hawa Mwaifunga amekamatwa na honda (nondo ya kutizamia)...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Jumanne, Septemba 25, 2012 06:47 Na Arodia Peter, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dk. Edward Hosea MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sipendi kupepesa macho wala kumumunya maneno pale panapotakiwa kupongeza nimesoma gazeti moja la rwanda habari hii ikanifurahisha kwa kweli sipendi kujua nini kinaendelea bali nichukue fursa hii...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Michoro ya Daraja jipya la Kigamboni linavyoonekana baada ya kukamilika. Kama wazoefu na wataalamu walivyotueleza katima mada hii kwamba picha ya awali hapo chini ni daraja la muda kurahisisha...
6 Reactions
181 Replies
34K Views
Poleni wafiwa wote, watu wa Majengo, Mbuguni, Magadirisho, na maeneo yote kwa vifo vya jamaa zetu katika ajali Siku ya Jumamosi, 22 Septemba 2012 kulitokea ajali mbaya katika barabara ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimekua nikitumia airtel kwa internet, 2500 unapata mb 400, kuna kipindi walipandisha hizi bei zao na wananchi wakaamua kuwagomea, wengi tukasema bora tuka-banane kwenye kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Jamani tuoneeni huruma, ni mitaa ya hapa kinyerezi dar, huku wasabato huku waislamu, inakera sana, majibizano ya matusi, kejeli, dhihaka kwenye vipaza sauti mpaka usiku mkubwa bila kujali watoto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bonge la Ubunifu: This is the moment an illegal immigrant was busted trying to enter Spain despite his best efforts of pretending to be a car seat. Vigilant police caught the 20-year-old man from...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
  • Closed
Salary jk kwa mwezi ni 25mil kwa mwaka ni 300mil kwa 10yrs ni 3bil..just a salary.. wat about you? wat is yours?
1 Reactions
67 Replies
6K Views
Tue Sep 25, 2012 2:31pm GMT * State-run agency oversees vast gas resources * Fresh gas discovery in June tripled country's reserves * Region a new hub for hydrocarbon exploration By Fumbuka...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Richard Kilumbo, Kyela na Elias Msuya | Mwananchi WAZIRI wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe, amewashukia polisi nchini kwa kuendelea kufubia macho vitendo vya uhalifu na kuahidi kuchukua mkondo...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
  • Closed
KAMPUNI YA KUSAFIRISHA MIZIGO YA SERENGETI YAKABIDHI MSAADA WA VITU MBALIMBALI VILIVYOTOLEWA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA KUWASAIDIA WAKAZI WA MABWEPANDE...!!! Mkurugenzi wa kampuni ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Unapotoswa na chama kama ccm kwenye uchaguzi wa kwanza na kuamka mbele ya press kusema nikitoswa mbele ya safari ccm patachimbika na leo jina lake limerudishwa tena kwenye kinyanganyiro cha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii ni sms niliyo ipata toka tiGO,nime furahi sana kuona JF inavo jitangaza na kuaminika kama source ya habari. Tatizo ni kwamba domain name wanayo elekeza sio,kama inawezekana irekebisheni ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Are you looking for an exciting and adventurous destination for your next vacation? Consider the new vacation hot spot of the African wild for your next getaway and discover the beauty, diversity...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
South Africa will be among the first group of countries to see Blackberry 10 launched, announces Research in Motion (RIM) CEO Thorsten Heins, as the company fights to maintain its market position...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Jumanne, Septemba 25, 2012 06:45 Na Benjamin Masese, Dar es Salaam SAKATA la mwili wa marehemu Ntimaruki Khenzidyo (23), uliodaiwa kuibwa Hospitali ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom