Athari za Kuwaajiri Masharoboro (Wamesomea Nje ya Nchi) ktk Ofisi za Umma

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Kuna haja kwa serikali na wananchi kwa ujumla kuhakikisha kuwa shule zetu zinakuwa na ubora ili kukwepa kuwapeleka watoto wetu nje ya nchi kusoma.

Hebu angalia hii picha katika kalenda ya TACAIDS inayodai kuwa PIUS MSEKWA aliwahi kuwa waziri mkuu.

Kazi QeliQeli.

Bazazi ni Bazazi!
 
Attachments

  • Mawaziri Wakuu Wastaafu.JPG
    Mawaziri Wakuu Wastaafu.JPG
    401.4 KB · Views: 2,640
Kama ni kweli, basi tumekwisha.
Hapo lazima uchomwe fenegani badala ya kristapen
 
Inasikitisha....ingawa haishangazi sana makosa kama hayo kutokea katika nchi hii. Hatupo serious na kazi zetu. Katika hali ya kawaida, uandaaji wa kalenda kwa organisation kama TACAIDS ningetegemea kungekuwa na mtu au watu wa kui review (tofauti na aliyeiandaa) kabla haijaenda kwa printer. Na hata baada ya kutoka kwa printer kwa entities makini ni lazima ku review tena kabla haijasambazwa!
 
Kwa Jina la Yesu ninafunga roho zote za kisharobalo na masharobalo woote na ninaziseta chini ya msalaba wake Yesu Kristo. Amen
 
hadi kalenda inachapishwa hakuna editor?
na mashaka na wafanyakazi wa TACAIDS nadhani huko vilaza wa kumgwaga
hata boss wao haoini hili utashangaa kalitundika ofisini kwake
shame upon them
 
Kama ni kweli, basi tumekwisha.
Hapo lazima uchomwe fenegani badala ya kristapen
Ndio ukweli wenyewe,inawezekana ni makosa cha wakati wa uchapishaji na kwa kuwa walikuwa wamekwishachapisha kalenda za kutosha wakaona waliache tatizo kama lilivyo
 
Tusishangae naye atakua alishalipwa mafao ya kustaafu uwaziri mkuu!

attachment.php
 
Duh!!! kwa kweli hii Tanzania ccm wameifanya kitu mbaya, karibu kila mahala ni uozo tu. Mara nyingi tabia mbaya ya mtoto huwa ni taswira ya malezi na tabia za wazazi wake. Utendaji mbovu wa ofisa mtendaji wa kijiji ni taswira ya utendaji mbovu wa IKULU YA NCHI.

I truly Love you my Motherland Tanzania, but I pity you dearly so much. ccm has spoilt you horribly and terribly. But trust me, you will one day come out of this shity mess. Praises be to THE ALMIGHTY GOD.
 
alafu mtu anaaminiwa kudesign kalenda lakini hajui kuwa jina la mtu linaanza na herufi kubwa ...'msekwa'! Kwa taarifa yako hawa jamaa walianza kujipenyesa kwenye serikali na mashirika miaka kama 25 iliyopita. Miaka ya mwishoni mwa 90 walikuwa wamepenyeza mpaka nafasi za juu lakini walikuwa wachache lakini kwa taarifa yako leo hii ndio 'top layer' na ndio decision makers. Je mtu kama huyu anaweza akasoma mkataba na kuuelewa!!? Tusidanganyane bwana, Tanzania kwishney!
Tusishangae naye atakua alishalipwa mafao ya kustaafu uwaziri mkuu!

attachment.php
 
Duh!!! kwa kweli hii Tanzania ccm wameifanya kitu mbaya, karibu kila mahala ni uozo tu. Mara nyingi tabia mbaya ya mtoto huwa ni taswira ya malezi na tabia za wazazi wake. Utendaji mbovu wa ofisa mtendaji wa kijiji ni taswira ya utendaji mbovu wa IKULU YA NCHI.

I truly Love you my Motherland Tanzania, but I pity you dearly so much. ccm has spoilt you horribly and terribly. But trust me, you will one day come out of this shity mess. Praises be to THE ALMIGHTY GOD.
 
hta ktk elimu mbn wapo!si mwaka huu huu kuna ticha aliwaimbisha madogo wimbo wa taifa kwa kidhungu!
 
Back
Top Bottom