Ghafla usingizi unaniisha nacheki saa ni saa nane na nusu hivi nasogelea laptop yangu nadaka Modem ya voda nachomoa line niwekea salio najiunga na kitu cha nit kali cha mia 200 napata email hii...
Tanesco wamekuwa na spin nyingi sana za matengenezo. Leo wametutangazia kutakuwa na ukosef wa umeme ilala kuanzia saa 3 had saa 11 tar 27 mwez 9. pia wametangaza kinondoni watakosa umeme tar 28...
ASKARI polisi mwenye cheo cha koplo, Mlima Mnyasi ‘Katafunua' wa Kituo cha Kilwa Road Mkoa wa Kipolisi wa Temeke jijini Dar, hivi karibuni alikutwa amejinyonga hadi kufa katika lori la...
Kuna matangazo kwenye luninga na magazeti yanayohusu Tanesco.
Hili tangazo linawataka watanzania kuwapa ushirikiano wafanyakazi wa tanesco pindi watakapopita kukusanya maoni ya wao wanahitaji...
ni swali ambalo najiuliza kila saa nakosa jibu kwani nisingekuwa member wa jf nisingejua kwamba lema alihutubia jana.kina chonishangaza ni kwamba
cjackia taaarifa yoyote kwenya tv huhusus hilo...
Mwenye majina ya waliopitishwa kugombea nyadhifa mbalimbali kama Mwenyekiti wa Mkoa/Wilaya wa CCM, mwenezi, Uchumi na fedha, NEC n.k naomba atuwekee ili tuweze kuona vizuri.
Ndg zangu wanaJF, leo nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku kituo cha ITV, nikamwona mama m1 wa kibamba anayesumbuliwa na tatizo la kuvimba mguu. Tatizo lake limemsabishia madhila...
When media titan News Corp. first purchased MySpace in July, 2005, for $580 million, the thought of selling it just six years later for $35 million was unthinkable. But it happened. Now, a year...
Huyu mama kuna uwezekano mkubwa akawa rais ajaye either baada ya Obama ama Romney.Ila ninaamini itakuwa Obama.
Sisi wengi wa matajiri wetu ni mafisadi.Sisemi kuwa ni wote.Lakini...
Jana katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa hewani na Clouds Radio mtangazaji Gerald Hando alikuwa akijipendekeza kwa JK na na CCM kwa kuwamwagia sifa kibao kwa miradi mbali mbali ya...
kumekuwa na kawida watu wengi hata viongozi kila wana chosema wanafananisha na kenya,je hakuna nchi nyingine ya kutolea mfano? pili sisi hatuna vitu ambavyo wakenya wanaweza kujifunza kutoka kwetu?
Kila siku naona nafasi za kazi kwenye magazeti za hawa watu wanafanyakazi wengi sana?? Maana nadhani kama si hivyo basi wananyanyasa watu na hivyo kila siku watu wanaacha na wao wanaendelea...
Hivi wajameni yale mashindano ya SHIMIWI yanayotumia fedha nyingi kusafirisha timu toka wizara usika kwenda kushiriki michezo mikoa mingine yana faida gani? Naomba kujua maana naona kama ni njia...
Notoa malaliko kwa herufi kubwa kwa tigo wameniwekea wimbo wa kwaya wa hapo juu. Mimi si muumini wa nyimbo hizo na hata kama kwa kutojua nikajiunganisha sio neno. Nimekwenda kwa mawakala wa tigo...
Nilikuwa kilosa kuhudhuria mazishi ya baba wa rafiki yangu,nilichokiona makaburini wakati mazishi yakiendelea ni eneo lenye wigo huku likiwa na kaburi moja tu,nikauliza kama hapo penye wigo ni...
na Betty Kangonga
MWANDISHI wa habari wa gazeti la Tanzania Daima, Agnes Yamo, amefariki jana katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa.
Agnes...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.