Mihadhara! Mihadhara! Mihadhari!

Status
Not open for further replies.

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Jamani tuoneeni huruma, ni mitaa ya hapa kinyerezi dar, huku wasabato huku waislamu, inakera sana, majibizano ya matusi, kejeli, dhihaka kwenye vipaza sauti mpaka usiku mkubwa bila kujali watoto wadogo na wengine ambao wamechoka wanahitaji kupumzika. Natumaini ufalme wa mbingu hautafutwi hivo, this is barbaric deeds of high order!
 
uko sahihi hata huku mabibo kazi ni hiyohiyo najiuliza kwani bila kuuponda ukristo mhadhara haunogi? inakera sana
 
Tatizo la kutomjua Mungu unayemuabudu, unabaki unapapasa gizani.
Dawa yao waombee, Mungu awape hekima ya jinsi ya kumtafuta.
Sometimes i wonder why did God have to make it this difficult?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom