Mwenyekiti BAVICHA Kinondoni na wizi wa mitihani.

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Katika hali ya kusikitisha mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa Kinondoni na mhasibu msaidizi makao makuu CHADEMA ambaye alitambuliwa kwa jina la Hawa Mwaifunga amekamatwa na honda (nondo ya kutizamia) au desa kwa lugha ya chuo akiwandani ya chumba cha mtihani pale open university (kKnondoni) hali iliyompelekea kusimamishwa masomo kwa muda usiojulikana.

source: Notesboard ya open university (Kinondoni).
 
safi sana kama alikuwa ana cheat kwenye mtihani hafai kuwa kiongozi mara moja ngazi za juu wamvue uongozi na uanachama pia hatutaki wadanganyifu ndani ya chama!
 
Du! Kweli CHADEMA ni chama safi tena cha uadilifu tofauti na vyama vingine kama CCM na chama cha Lipumba kwani ktk hii thread inadhihirisha wazi kuwa CDM hatuna uchafu ndio maana mpaka watu wanajaribu kutafuta zile minor mistakes ili kuendeleza propaganda.

Ahsante katibu wetu Slaa na kamanda Mbowe kwa kukifikisha chama chetu ktk hali ya uadilifu wa kutosha.
 
Huyo mmama (kikongwe)ndo yule aliyemuweka kinyumba kijana aitwae ally bananga nyumbani kwake vijana kinondoni karibu na komakoma?
najua ni kilaza mzuri ila sikujua kwamba ni kwa kiasi hiki.
 
Mwizi ni mwizi kama anafanya hivyoakiwa hajapata madaraka vp akipata itakuaje?
 
Katika hali ya kusikitisha mwenyekiti wa bavicha mkoa wa kinondoni na mhasibu msaidizi makao makuu chadema ambaye alitambuliwa kwa jina la Hawa mwaifunga amekamatwa na honda(nondo ya kutizamia) au desa kwa lugha ya chuo akiwandani ya chumba cha mtihani pale open university(kinondoni) hali iliyompelekea kusimamishwa masomo kwa muda usiojulikana.

source:Notesboard ya open university(kinondoni).

Mkuu kweli unataka kuniambia kuwa mmekosa skendo kabisa za CDM mpaka muanze kuandika skendo za huko sekondary mnaposoma?
 
Du! Kweli CHADEMA ni chama safi tena cha uadilifu tofauti na vyama vingine kama CCM na chama cha Lipumba kwani ktk hii thread inadhihirisha wazi kuwa CDM hatuna uchafu ndio maana mpaka watu wanajaribu kutafuta zile minor mistakes ili kuendeleza propaganda.

Ahsante katibu wetu Slaa na kamanda Mbowe kwa kukifikisha chama chetu ktk hali ya uadilifu wa kutosha.
Duu kukutwa na kibomu kwenye mtihani ni minor mistake kweli we hamnazo?!.angekutwa kiongozi wa ccm au cuf ungesema ni minor mistakes?
 
Mwizi ni mwizi kama anafanya hivyoakiwa hajapata madaraka vp akipata itakuaje?

Mkuu unajitahidi kutafuta habari basi ipo siku utakuja na habari za kiongozi wa BAVICHA kaoga maji ya baridi bafuni......

Teh teh teh teh teh teh......!
 
Mkuu kweli unataka kuniambia kuwa mmekosa skendo kabisa za CDM mpaka muanze kuandika skendo za huko sekondary mnaposoma?

Huyo dada anachafua chama kama anaiba mtihani vp pesa ya ruzuku ya chama?
 
Huyo mmama (kikongwe)ndo yule aliyemuweka kinyumba kijana aitwae ally bananga nyumbani kwake vijana kinondoni karibu na komakoma?
najua ni kilaza mzuri ila sikujua kwamba ni kwa kiasi hiki.

Haaaaaaaaaaaah Ndio uyo uyo
 
Mkuu kweli unataka kuniambia kuwa mmekosa skendo kabisa za CDM mpaka muanze kuandika skendo za huko sekondary mnaposoma?

Vipi umeshamaliza kazi pale invisible television(chadema tv),?
Fisadi mwingine huyu.
 
Mkuu unajitahidi kutafuta habari basi ipo siku utakuja na habari za kiongozi wa BAVICHA kaoga maji ya baridi bafuni......

Teh teh teh teh teh teh......!

Mbona kikwete akisafiri mnasema au kunya enyekuku akinya bata kahalisha.
 
Mletat thread anatuhumiwa kwa ushabiki lakini nashangaa hata wachangiaji wengi hapa wamechangia kishabiki kwa kujaribu kuhalalisha wizi wa mitihani kwa kiongozi wa bavicha! au kujaribu lionekane ni kosa dogo sana, lakini ukweli ingekuwa ni kiongozi wa UVCCM habari ingekuwa vingine!
 
Vipi umeshamaliza kazi pale invisible television(chadema tv),?
Fisadi mwingine huyu.

mkuu habar za hapo!
Hivi unataka kuniambia habari zimeisha kabisa? Jaman hata zile za ukanda na udini hamna hata hizo mpaka muandike habari za sekondary mnaposoma?

Kwi kwi kwi kwi..........!
 
Halafu si ndio huyu huyu mtu mzima aliemganda kamanda kijana mnyika kama luba?
Mnyika akamtosa akaanza kumsarandia ben saanane kwa sifa kedekede,nakumuahidi kumpa chochote atakacho?si ndio huyu?
 
mkuu habar za hapo!
Hivi unataka kuniambia habari zimeisha kabisa? Jaman hata zile za ukanda na udini hamna hata hizo mpaka muandike habari za sekondary mnaposoma?

Kwi kwi kwi kwi..........!

Ukanda na udini ni permanent agenda!hii ya leo jamaa katoa ni temporaly!
 
Mletat thread anatuhumiwa kwa ushabiki lakini nashangaa hata wachangiaji wengi hapa wamechangia kishabiki kwa kujaribu kuhalalisha wizi wa mitihani kwa kiongozi wa bavicha! au kujaribu lionekane ni kosa dogo sana, lakini ukweli ingekuwa ni kiongozi wa UVCCM habari ingekuwa vingine!

Mkuu yani hata habari za darasani sekondary mnazileta humu kwa GT!

Basi nadhani kesho mtakuja na habari za kiongozi wa BAVICHA alitoroka shule na pia hakuandika notes za mwalimu.

Teh teh teh teh....................!
 
Back
Top Bottom