Pichani, Daraja Kigamboni hiloo... Kigamboni yakufikirika yawa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pichani, Daraja Kigamboni hiloo... Kigamboni yakufikirika yawa kweli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Sep 12, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Michoro ya Daraja jipya la Kigamboni linavyoonekana baada ya kukamilika. Kama wazoefu na wataalamu walivyotueleza katima mada hii kwamba picha ya awali hapo chini ni daraja la muda kurahisisha ujenzi wa daraja lenyewe.

  [​IMG]

  Mchoro wa daraja la kigamboni unaoonyesha ukubwa wa barabara utakavyokuwa ambao unaonyesha kutakuwa na 6 lanes, tatu kila upande. Daraja la ukubwa huo ni wa kiwango cha madaraja mengi tuniani.

  [​IMG]


  Mimi ni mmojawapo ambaye sikupenda kupata kiwanja cha kujenga Kigamboni sababu ya tatizo la kusubiria ferry. Leo ninapoona hili daraja naanza kubadili mtazamo wa kuona Kigamboni si kisiwani tena. Mwenye kiwanja cha Ekari moja mpaka mbili nipm, niko tayari kwa gharama yo yote kwani sasa naona Kigamboni yawa kama :A S 465:Long Island beach ya NY.:A S 465:

  Hata nikipata pale Vijibweni sawa tu, maana huko karibu na beach kabisa nako mawimbi ya bahari yakitikisika kwa kishindo cha tetemeko balaa kufunikwa na maji ya chumvi.
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kweli kigamboni hapakuwa mahala salama pa kuishi
   
 3. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Pale ambapo pana risk nyingi ndipo palipo na opportunity, kikubwa ni kupambana na changamoto mpaka kinaeleweka maana waliopo huko sasa hivi wana-enjoy. Tatizo lingine mara nyingi sie watz inakuwa ngumu kushika maeneo ambayo yapo pembezoni kwa bei nafuu ili baadae ufaidi matunda lakini unakuta tunasubiri mpaka pachangamke ndio watu wanajitokezwa na kupigwa bei kubwa ya kufa mtu.
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndio haka kadaraja kenyewe?
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haka kadalaja sijui katakuwa kanapitwa vitz tu peke yake? kwanini plan isewe 4 ways?
  tatizo planner wa kibongo wanaproject 2 years to come not 50 years to come
   
 6. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Serikali ikiamua inaweza tatizo ni maneno mengi kuliko vitendo.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ahsante Kikwete, rikodi nyingine.
   
 8. J

  John W. Mlacha Verified User

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  tunaomba muweke ramani/picha ya daraja
   
 9. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Dr. Kupeng'e nadhani ulijibu haraka, hata udaktari wa falsafa huanzia na elimu ya msingi na kupanda kidogo kufikia bachela kabla ya kuamua kuibukia graduate college yenye kukutuza PHD.

  Little is better than nothing. Madaraja mengi kutokana na gharama kubwa iliyopo hujengwa kwa kusaidia tatizo la wakati uliopo, siku za usoni upo uwezekano wa kupanua kwani hakuna lisilowezekana.

  Unataka Ulaya nao waige kujenga hotel ya kitalii kama ya Tanzania inayoongoza number one kwa miaka miwili mfululizo? Jibu hapana kwa sababu kila kifanyikacho hutegemea uchumi, mazingira na uwezo.
   
 10. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Hata mie nilishangaa hasa huo wembamba lakini according to maelezo yaliyotolewa wamesema litakuwa na njia tatu kwenda na njia tatu kurudi hivyo nadhani hapo wanatengeneza hatua ya kwanza ili waunganishe nchi kavu alafu ndio waanze kulitanua, fedha zetu hizi za NSSF na ndio maana serikali ikatunga sheria kali kwa kufuta fao la kujitoa
   
 11. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Hata na hili ni JK, hapa hela zetu tulizochangia NSSF zomba bila sie wasingepata hizi hela, kama zinatoka kwenye makusanyo ya kodi ambazo na zenyewe ni za kwetu hapo sawa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Daraja halijajengwa na kodi za wananchi, bali ni mwekezaji ambaye daraja hilo tutalivuka kwa kulipia. Sijajua itachukua miaka mingapi mwekezaji kurudisha gharama kisha tupate huduma bure.
   
 13. bwafo

  bwafo Senior Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hili nafikiri ni daraja la muda litakalosaidia ujenzi wa daraja lenyewe ambalo litakuwa na njia sita
   
 14. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Candid Scope na Dr. Kupeng'e, daraja litakuwa na njia 3 kwenda na njia 3 kurudi hivyo nadhani japo mie sio mhandisi hapo kinachofanyika ni kuunganisha nchi kavu ili iwe rahisi kufanya kazi ya upanuzi na kusafirisha construction materials
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Candid Scopena Dr. Kupeng'e, daraja litakuwa na njia 3 kwenda na njia 3 kurudi hivyo nadhani japo mie sio mhandisi hapo kinachofanyika ni kuunganisha nchi kavu ili iwe rahisi kufanya kazi ya upanuzi na kusafirisha construction materials
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ndio ukweli, na hata kama hili daraja lina uwezo huo si rahisi kuisoma picha kwa vile picha hajapigwa kwa kiwango cha vipimo vya kujua upanda wa daraja. Mpiga picha alijitahidi kuvuta lens ili kupata taswira ya hatua za ujenzi ilipofikia, huenda tunatoa hitimisho mapema kabla hatujawa na uhakika wa vipimo vya ukubwa huo.

  [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  Madaraja kama haya ambayo tunaona picha zake, si rahisi kujua yana lane ngapi, kwa vile picha haiwezi kutoa scale ya ukubwa.
   
 17. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu ni mapema mno kutoa conclusion
   
 18. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  daraja fupi hivyo meli zitapita wapi? hakuna hadhi ya daraja la 21 century hapo, litaongeza kero tu.
   
 19. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  hapo naweza kuelewa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Dr, hii ndo Masterplan ya daraja hilo hebu icheki!!!
   
Loading...