Peruzi Jamii Forums BURE kupitia simu yako!

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Hii ni sms niliyo ipata toka tiGO,nime furahi sana kuona JF inavo jitangaza
na kuaminika kama source ya habari.
Tatizo ni kwamba domain name wanayo elekeza sio,kama inawezekana irekebisheni
ili watu wasipelekwe kwingine.

Tuma sasa JAMIIFORUM.COM
au GMAIL.COM
au GOAL.COM

kwenda 15686 upate habari kwa SMS kwa siku 7 bila
kikomo, Baada ya hapo ni TZS 97/siku.
 
JF ni mtandao muhimu sana kwa ukombozi wa kweli wa taifa letu.

Wapo wanaodai kuwa majina bandia ya members yanaipunguzia sifa JF. Lakini ukweli ni kwamba hakuna mtandao wa kijamii duniani ambapo watu hutumia majina yao. Mimi naweza kujisajili fb kwa jina lolote. Ukienda gmail youtube yahoo nk wachangiaji hawahitaji kuthibitisha majina yao. Na mitandao hiyo hutumiwa na aljazeera cnn bbc nk. Big up JF.

Lakini pia big up Star tv kwa kuwa wao ni wa kwanza tz kuitumia mitandao ya kijamii ktk baadhi ya vipindi vyao
 
Facebook ilianza hivhiv, lol wadau mui promote na rwanda ipate visitors wengi ili iwe online BBC ya africa..viva jf.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom