Salary ya kikwete for 10yrs ni Tsh 3 bilion | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salary ya kikwete for 10yrs ni Tsh 3 bilion

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mozila, Sep 25, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mozila

  Mozila Senior Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Salary jk kwa mwezi ni 25mil kwa mwaka ni 300mil kwa 10yrs ni 3bil..just a salary.. wat about you? wat is yours?
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mozila ana haki apate hiyo Salary kutokana na cheo chake kama ni Mkuu wa nchi wewe unaonaje Salary ya Mheshimiwa Rais ni nyingi au ndogo?
   
 3. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Aaaah! kumbe mkuu wa nji analipwa kidogo hivyo! Ananizidi kwa asilimia 10,000 tu?!! Anapunjwa sana.
   
 4. g

  geophysics JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ****....... tutaamini je.....acha kuwadanganya wana JF
   
 5. Mozila

  Mozila Senior Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mtimkavu hiyo salary ni kubwa sana kwa rais mtu ambaye anapewa kila kitu for the rest of his life yeye na family yake
   
 6. Mozila

  Mozila Senior Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kama nadanganya toa data zako
   
 7. KATUMBACHAKO

  KATUMBACHAKO JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sina uhakika,kama ni hiyo basi ni ya kawaida sana! Weka na posho zake zote kwa mwezi ili tuone
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mimi ninaziona hizo TSHS 3 Billlion kwa miaka 10 ni ndogo sana ukilinganisha na Mtu kama Rais Wa Amerika Barack Obama anayelipwa kwa Mwaka Mmoja Dola Laki 4. Kutokana

  na majukumu aliyokuwa nayo mengi Rais wetu kulipwa Pesa ya Shillingi 3 Bllioni kwa miaka kumi ni ndogo sana

  mimi nilifikiri analipwa kwa kila mwezi? kumbe pesa ya Miaka kumi?Mkuu Mozila Hebu hizo Pesa Ya Rais wetu TShS 3 Billioni Zifananishe kwa Dola itakuwa ni dola ngapi? What will obama salary be as president?
  Answer:
  The President of the United States earns $400,000 a year. The vice president's annual salary is $221,100


  What will obama salary be as president
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe Rais wa Bongo mshahara wake ni Mil 25 tu? Sasa aliwezaje kumlipa maximo mil 30 kwa mwezi? Mkuu unauhakika ni mil 25 tu ndiyo mshahara wa Rais?
   
 10. Ulenje

  Ulenje Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndogo sanaaa ungeongezwa
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kwa kutofautiana na viongozi wa nchi nyingine rais wa Marekani anajinunulia au kujilipia mwenyewe chakula chake.
   
 12. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdogo saaaana yaani hata hamfikii waziri mkuu wa kenya (odinga)
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nadhani hizo milioni 30 za Maximo zilitoka kwenye miradi mingine. Sidhani Kikwete anategemea mshahara wa Ikulu peke yake.
   
 14. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280

  Kwahiyo ni kweli mshahara wa JK ni mil 25 tu kwa mwezi?
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hapo hujaweka allowance yake ya kusafiri kwenda nchi za nje daah
   
 16. Mozila

  Mozila Senior Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Tanzania president salary per annum is USD $ 187500/- haya multiply kwa 1600
   
 17. Mozila

  Mozila Senior Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  We umenielewa hiyo ni msharaha tu na sidhani kama anazitumia
   
 18. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  pigeni kazi vijana..acheni kujipa presha kujadili vitu ambavyo mwisho wa siku havikusaidii...komaa ndio mpango mzima.
   
 19. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wafanyakazi wote wa serikalini na wanasiasa huwa hawategemeagi Mishahara! HutegemeaMARUPURUPU, RUSHWA na WIZI,
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,455
  Likes Received: 19,826
  Trophy Points: 280
  kwa rais wa nchi kama kikwete ambaye han uchungu na nchi yake na ambaye aliingia madarkani kwa kutumia pesa yake nyingi hiyo pesa ni ndogo sana na siamini
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...