An upbeat African reality TV show grabs a rare but well induced backups from an International Development Organisation - Oxfam, and Tanzanian leading banking firm NMB!Whatch out and see our...
Fumanizi hilo lilibuliwa na gazeti hili, Septemba 18, mwaka huu ambapo Judith Lekule na mume wa mwanamke aliyetambuliwa kwa jina moja la Pendo walinaswa chumbani wakiivunja amri ya sita ya...
Leo nipo Tunduma nimekuta vijana na wazee madereva wanavyo lalamika kuhusu hii kampuni, wanasema inawapiga bao na kuwafanyia fitina kubwa sana.
Jamaa mmoja ambaye amenipa mpaka lift anasema dogo...
Ukweli kwamba sasa wachina wamefikia pabaya hadi kufanya soko kuu kariakoo kuwa dampo la vitu feki la bidhaa vya kichina. Haya yameziilika siku za karibuni, baada ya kuona maroli mengi ya HOME...
MTUHUMIWA Mkuu wa kashfa kubwa iliyowahi kuitingisha nchi na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kusafirisha wanyama hai wapatao 130 nje ya nchi, Kamran Ahmed (30), anashikiliwa na Polisi mkoani...
MWALIMU wa Shule ya Msingi Magamba, wilayani Handeni, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela, baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na kumpa mimba mwanafunzi.
Mwalimu...
takeholders in the marine transport sector have called on the government to review the Marine Act 2003, which allows up to 15-year-old vessels, particularly passenger ships, to be brought into the...
Nizar Visram
WIKI iliyopita tulizungumzia maandamano dhidi ya Marekani yalivyoenea kote duniani, kufuatia video iliyoandaliwa Marekani ikishambulia Uislamu. Baada ya hapo maandamano yamezidi...
Sabau za kujivunia kuwa mtanzania au kutokuwa mtanzania ni zipi?
Kisiasa /kidemokrasia Tuko wapi?
Kiuchumi?
michezo
matumizi ya rasilimali zetu
Kielimu
Je hivi vitakufanya ujivunie kuwa mtanzania...
Majibu ya interview alofanyiwa na kipindi cha wanawake live cha EATV.
Aliulizwa yeye ni mke wa mtu mwenye nafasi kubwa katika jamii (kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ndugu Aikael...
Ukweli sina maneno laini yanayofaa kutumika kueleza hisia zangu dhidi ya shirika hili la umma! Ni lini yamepita japo masaa 12 mfululizo bila umeme kukatika? Sikumbuki. Leo tu wamekata na kuwasha...
Somebody send me an email that lists charateristics of developing countries, and I found that it resonates what is happening in our country. Enjoy:
Riding a Dead Horse
Dakota Native American...
Katika kuendeleza utamaduni wetu wa uvumilivu wa kisiasa na kuheshimu mawazo tofauti, kulinda haki ya kutoa maoni na kusimamia misingi ya kupingana bila kupigana. Chama chetu kinasikitishwa mno na...
Habari nilizozipata ni kwamba baadhi ya wamachinga wamevamia eneo la wazi lililopo Kilombero sokoni. Wameondoa bati zilizokuwa zimezungushwa na "mmiliki" ambaye aliuziwa eneo hilo kifisadi na...
Greek woman dies after thieves drag her on road
Monday, 24 September 2012
Dar es Salaam. A Greek woman has died in the course of preventing her handbag from being snatched by unidentified...
SUALA la Muungano limeibuka karibu katika kila mkutano wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Mabadiliko ya Katiba, ambapo juzi askari Polisi Josephat Mwamunyange, alijitambulisha mbele ya mabosi wake...
Maisha yanaenda yakibadilika, huko nyuma tuliowahi kuzaliwa, M/MUNGU akikujaalia kupata kibarua, jambo la kwanza utatafuta kiwanja, kumezuka mtindo miongoni mwa vijana wengi wa...
Kuna "madudu" mengi yanayofanywa na wafanyakazi wa vivuko vya M.V. KIGAMBONI na M.V. MAGOGONI kama haitoshi hata wale wakatisha tiketi ambao wamepata ajira kwa misingi ya ujuani.
Nalotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.