Kweli nimrodi mkono jembe la ccm:baada ya kutoa mikwara ,wamrudisha kundini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli nimrodi mkono jembe la ccm:baada ya kutoa mikwara ,wamrudisha kundini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 25, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,453
  Likes Received: 5,703
  Trophy Points: 280
  Unapotoswa na chama kama ccm kwenye uchaguzi wa kwanza na kuamka
  mbele ya press kusema nikitoswa mbele ya safari ccm patachimbika na leo
  jina lake limerudishwa tena kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi
  sitoacha kukusifu mzee wangu kweli wewe jembe kidume cha mbegu akugusae
  amegusa mboni ya jicho lake kwa kweli...kila la kheri na uchaguzi mzee wangu
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,453
  Likes Received: 5,703
  Trophy Points: 280
  Kwa habari zai di soma mwananchi
   
 3. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  du! kweli jamaa mkare,alivyopiga mkwara nilijua atatoswa kabisa,kama amerudi uyo jamaa ni mkare
   
 4. njofu

  njofu Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  watu wote wanaompenda mzee mkono wangekuwa nyuma yake hivyo huko musoma hapangetosha
   
Loading...