Serengeti freight wamkabidhi mkuu wa mkoa dar michango ya mafuriko iliyotolewa na watanzania uk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serengeti freight wamkabidhi mkuu wa mkoa dar michango ya mafuriko iliyotolewa na watanzania uk

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chris Lukosi, Sep 24, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Chris Lukosi

  Chris Lukosi Tanzanite Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 4,587
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  [h=3]KAMPUNI YA KUSAFIRISHA MIZIGO YA SERENGETI YAKABIDHI MSAADA WA VITU MBALIMBALI VILIVYOTOLEWA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA KUWASAIDIA WAKAZI WA MABWEPANDE...!!![/h]

  [​IMG]
  Mkurugenzi wa kampuni ya usafirishaji mizigi nchini uingereza Serengeti,Bw Chris Lukosi akikabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadiq
  [​IMG]
  Mkuu wa mkoa wa Dar Meck Sadiq akimshukuru Mkurugenzi wa kampuni ya usafirishaji mizigi nchini uingereza Serengeti,Bw Chris Lukosi
  [​IMG]
  [​IMG]
  Salaam.
  Kama tulivyoahidi, leo tumeukabidhi mzigo wa msaada kutoka kwa watanzania waishio UK kwa ajili ya kuwachangia wahanga wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar.Mizigo hii imekabidhiwa kwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam mheshimiwa Mecky SadiqMzigo huu tumeusafirisha bure na pia tumeulipia ushuru kama mchango wetu kwa wenzetu waliopatwa na janga hili.

  Mkuu wa mkoa , kwa niaba ya wanachi wa mabwepande ametoa shukurani kwa wale wote waliochangia na akatoa mwito kwa wengine kuiga mfano huu wa kutoa.

  Sisi Serengeti Freight tunapenda kuwashukuru wale wote waliochangia harambee hii
  Pia Tunapenda kutoa shukurani kubwa kwa Jestina George na Urban pulse kwa kushirikiana nasi kukamilisha zoezi hili

  KUTOA NI MOYO WALA SI UTAJIRI

  Asanteni sana

  CHRIS LUKOSI
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Safi sana makamanda, ziwafikie tu walengwa maana hawa magamba kwa kuchakachua wako fiti sana!
   
 3. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Safi sana, sasa wale wambeya waje hapa tena!
   
 4. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Walitukana sana wakaingiza na mambo ya Chadema wakati mtu unatoa Msaada
   
 5. m

  malaka JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Itafika kweli? Nadhan inabidi pafanyike mbinu ya kufuatilia hii misaada kama inafika au la.
   
 6. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hongera sana ingawa mizigo imechelewa kufika.
   
 7. M

  MDOSI Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wale walio kua wanasema serengeti wamezulumu mizigo ya mafuriko wako wapi mbona mmekula kona hata kusema like mnashidwa kwa sababu criss ni chadema acheni wivu wa kizamani mnatakiwa muwe na wivu wa kimaendeleo :A S angel:
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...