HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Pamela Kalala amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mke wa mmoja wa washtakiwa aliokuwa akisikiliza kesi yao...
Maiti itasafirishwa kutoka Tanga hadi Mwananyamala Dar
*Mahakama kutoa kibali maalum, Jeshi la Polisi kusimamia
HATIMAYE mwili wa marehemu Ntimaruki Khenzidyo (23) uliodaiwa kuibwa katika...
Jamani, is it me only au kuna wengine wenye complains kama zangu
Naona mitandao ya simu wananihujumu sana,coz nikieka credit and make few calls my balance run out within no time
Jamaa wanatunyonya...
TAMKO LA WADAU (WANACHAMA WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII) WA MIGODI NA SEKTA BINAFSI KUHUSU SHERIA No 5 YA HIFADHI YA JAMII KAMA ILVYOFANYIWA MAREKEBISHO MWEZI APRIL 2012
Hili ni tamko...
Waalimu wa kenya wamekuwa kwenye mgomo kwa muda wa wiki tatu sasa. Na serkali ya kenya imekubali kuwaongezea mishahara yao. katika mgomo huu sijasikia serikali hiyo kuuzuia mahakamani wala watu...
Wana JF, kama kuna mtu ambaye anajua shirika la ndege au website naweza kupata air ticket kwa bei nafuu ya kwenda na kurudi napendelea Kilimanjaro airport port au Jomo Kenyatta airport Nairobi...
Takriban wapiganaji 35 wa kundi la kiisilamu la Boko Haram, wameuawa katika msako mkali dhidi ya kundi hilo Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
Kwa mujibu wa jeshi la Nigeria, wapiganaji wengine...
Baada ya Kifo cha Mwandishi Daudi Mwangosi wa Iringa, Yaliibuka Mambo Mengi, Likiwemo la Baadhi ya waandishi wahabari kutafutwa na Jeshi la Polisi wauliwe.
Mmoja ya wanahabari waliokua katika Red...
Ni hapo juzi juzi tu tumetoka kumzika traffic police mmoja maeneo ya dumila morogoro.Sababu ya kifo chake ni ajali ya pikipiki kugongana.Huyu polisi alikuwa akiendesha pikipiki isiyokuwa na taa...
Kwa kipindi kirefu sasa kumekua na kashfa mbalimbali ambazo zimelikumba Baraza la Mitihani la Tanzania. Kupitia vyombo vya habari tumesoma taarifa ya wizi/upotevu wav yeti na hata results slip...
Inafurahisha kuona mshikamano wa viongozi wetu wa juu CCM.
Hongera Mwenyekiti Jk.
Bado CCM ni kinara kwa oganaizesheni na uhamasishaji kwa kufanya mambo kwa mipango madhubuti, bila kuleta...
Kuna kituo kipya cha radio kimefunguliwa na kipo ktk majaribio? Ningependa kujua mmiliki wake. Mwenye info update mi
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Athari za ustaarabisho zinailinda mbegu ya ukoloni nchini na barani Afrika, inatuzuia kujirudishia taifa letu, uraia wetu na uzalendo wetu. Kisa hatuna elimu ye uzalendo nchini/barani Afrika...
Kama kuna siku niliosikia kizungu zungu nikiendesha gari ni jana ....kwa waliosikia kipindi cha clouds fm jahazi amtowiwa kuamini hii serikali yetu ni ya wauwaji watupu...sipendi kumumunya mdomo...
Ilala: Hakimu apandishwa kizimbani kujibu tuhuma za kumwomba mteja rushwa
25/09/2012
0 Comments
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Pamela Kalala (kushoto),akitoka katika mahakama...
Hebu angalia Wabongo walivyo Wahuni/Mbumbumbu! Aibu
Kutojua LUGHA
Standard Passed & Date: IV 2008
Name of School: Salama Sec School.
Course Taken: TRAINING FOLONTIER MLITARY
Kughushi...
Mwanzoni mwa mwezi huu kuna jamaa alitoka kwenye mizunguko yake ya maisha (anakaa majohe kwa mkolemba) alipofika pale kwa mkolemba alikodi piki piki na yule dereva wa piki piki alimbeba na...
Wadau nchi yetu imeingia kwenye kitabu cha orodha ya maajabu baada ya wanafunzi wa Darasa la saba kufanya mtihani wa Hesabu wenye majibu ya kuchagua......a..b..c..d nakumbuka nilipokuwa nasoma...
Kesho rais jakaya kikwete atawapandisha vyeo maofsa wakuu wa jeshi kwa vyeo vya namna mbili ikulu ya dar es salaam,
Kuna maofsa wakuu 14 watapanda kutoka brigadier generals kua major generals...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.