KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Mkuu, hawa majaji wanapoteza fursa nzuri sana waliyopewa, huyu na mwenzie aliyemtangulia kwenye kesi hii.Kwenye Kesi hii.Judge anaenda kuchanganyikiwa..sababu kuu ni kuwa anajua kuwa utetezi wana Hoja..na hoja yao ni ushindi kwa uteteZi lakn afanye nin mana Mfumo uliomuweka unakomand nini afanye...frustrating the Man!!
Kitu kinachotakiwa hapa jaji akifanye na kujijengea heshima ni kufuata sheria tu basi!