Suala la Pauline Gekul: Mahakama iko huru, lakini kesi zilizo mbele yake sio mali yake, wenye kesi wanapoziondoa kesi hizo, hawaingilii uhuru wake

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,940
20,493
Kwa mujibu wa sheria za nchi, Mahakama haimiliki kesi, kwa msingi kwamba mahakama inapokea tu malalamiko (kesi), mahakama haitafuti kesi mitaani ili ije izisajili. Mahakama ni kama mtoto mchanga anayelishwa chakula, mahakama "inalishwa" kesi zinazoletwa ndipo ifanye kazi.

Hata kama wananchi watapigana mitaani, watauana, lakini kama mgogoro haujapelekwa mahakamani, mahakama haiwezi kufungua kesi yenyewe.

Kesi za jinai zinaweza kufunguliwa na mtu binafsi, hasa mahakama ya mwanzo, lakini kuanzia mahakama ya wilaya, jamhuri ndio inafungua shitaka. Lakini mashtaka yote ya jinai, DPP ndiye anayaratibu, na anaweza kuingia katika shitala lolote lile, katika mahakama yoyote ile, na akaliendeleza au kuliondoa.

Kesi inapokuwa chini ya DPP, mtu aliyefanyiwa kosa anakuwa shahidi tu, sio mlalamikaji, inalalamika jamhuri kwamba mtu wake katendewa kosa.

Pale DPP anapoingia katika shitaka, yule aliyelifungua kwa jina binafsi mamlaka yake yanakoma, kesi mzima inaendeshwa na DPP. Hata Madeleka pia, inashangaza kwamba anakata rufaa katika kesi ambayo si ya mteja wake,kwa kuwa DPP ameshaichukua, ni kesi ya serikali kupitia DPP, mteja wa Madereka ni shahidi tu. Tangu lini shahidi akakata rufaa?

Hata kesi ya gaidi maarufu, Mbowe, wenye kesi waliamua kuiondoa.

Hii pia inaenda katika mashauri ya madai, Mwanasheria Mkuu ana mamlaka ya kuingia katika shauri lolote pale ambapo anaona kuna maslahi ya umma(maslahi ya umma sio lazima yawe maslahi ya serikali).

Kwa hiyo tusiilalamikie mahakama, wao mi simba wa kufugwa, hawawindi.
 
Tatizo hao wenye kesi wanaziondoa kwa maslahi ya chama chao, ndio maana wengi tunaona DPP amegeuzwa kuwa mwanasiasa.
 
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wanaangalia maslahi ya taifa ili mfumo wa haki usitumiwe vibaya(abuse of court process) na magenge ya wahuni kama Madeleka na wenzake, akowemo yule wakili wa Mkoani Mbeya Mr. Mwambuzi
 
Hicho ulicho sema ndiyo kinasababisha mfumo wa mahakama tz na duniani kuwa mbovu na kutumiwa na wahalifu kufanikisha uovu wao ....mahakama inatakiwa kupigania haki ....ukisha sema ulivyo sema basi ujue mahakama inakuwa ni kama toy tu....na ndivyo ilivyo kwa sasa mahakama ni TOY LA KUCHEZEWA NA WENYE MAMLAKA
 
Kwa mujibu wa sheria za nchi, Mahakama haimiliki kesi, kwa msingi kwamba mahakama inapokea tu malalamiko (kesi), mahakama haitafuti kesi mitaani ili ije izisajili. Mahakama ni kama mtoto mchanga anayelishwa chakula, mahakama "inalishwa" kesi zinazoletwa ndipo ifanye kazi.

Hata kama wananchi watapigana mitaani, watauana, lakini kama mgogoro haujapelekwa mahakamani, mahakama haiwezi kufungua kesi yenyewe.

Kesi za jinai zinaweza kufunguliwa na mtu binafsi, hasa mahakama ya mwanzo, lakini kuanzia mahakama ya wilaya, jamhuri ndio inafungua shitaka. Lakini mashtaka yote ya jinai, DPP ndiye anayaratibu, na anaweza kuingia katika shitala lolote lile, katika mahakama yoyote ile, na akaliendeleza au kuliondoa.

Kesi inapokuwa chini ya DPP, mtu aliyefanyiwa kosa anakuwa shahidi tu, sio mlalamikaji, inalalamika jamhuri kwamba mtu wake katendewa kosa.

Pale DPP anapoingia katika shitaka, yule aliyelifungua kwa jina binafsi mamlaka yake yanakoma, kesi mzima inaendeshwa na DPP. Hata Madeleka pia, inashangaza kwamba anakata rufaa katika kesi ambayo si ya mteja wake,kwa kuwa DPP ameshaichukua, ni kesi ya serikali kupitia DPP, mteja wa Madereka ni shahidi tu. Tangu lini shahidi akakata rufaa?

Hata kesi ya gaidi maarufu, Mbowe, wenye kesi waliamua kuiondoa.

Hii pia inaenda katika mashauri ya madai, Mwanasheria Mkuu ana mamlaka ya kuingia katika shauri lolote pale ambapo anaona kuna maslahi ya umma(maslahi ya umma sio lazima yawe maslahi ya serikali).

Kwa hiyo tusiilalamikie mahakama, wao mi simba wa kufugwa, hawawindi.
punguza ujinga wote tunafahamu mahakama haziko huru kwasababu majaji na mahakimu wanateuliwa na mtu mmoja ambae ni mwenyekiti wa CCM
 
Wakati mwingine tunajarinu kutetea upuuzi. Mfumo wetu hata Spika wa bunge ewekewa Kinga ya kutoshitakiwa, nchi zinazojitambua hata iwe nani utapanda tu kizimbani muulize Trump. Miezi michache iliyopita, naibu Waziri mmoja alitoka na mwanafunzi wa Mzumbe, akapata ajali mwanafunzi akafa, angalia Sasa Kinga aliyopewa, kuanzia Polisi, gari lililopata ajali likapelekwa nyumbani kwake badala ya Polisi, zahanati moja wakasema aliletwa anaumwa presha akafa, akazikwa kimya kimya kwao Singida. Huu mfumo wa kipuuzi tunachekelea? Huyu Gekul naye angalia chenga za kupindisha zinavyopigwa zikisimamiwa na DPP.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Siku majaji na mahakimu wakiwa hawana uhusiano wowote na CCM basi ndio kipindi ambacho Mahakama zitakaa sawa.
 
Inaonesha DPP ndio hakimu, anaiondoa kesi kusikilizwa hata baada ya miaka hiyo kesi ilikua ikisikilizwa bila kutoa sababu, hii ni kumyima haki mshitaki na mshtakiwa sababu haki haikutendeka kwa uwamuzi wa sheria
 
DPP anazingatia maslahi ya umma na sheria, kuna kesi hazina ushahidi kabisa lakini mtu amekaza fuvu na mbavu, hiyo inakuwa persecution, sio prosecution
 
Endelea kutetea upuuzi siku yakikukuta usirudi hapa kulia lia.siku zote ubaya hauna ndugu.
 
Kwa mujibu wa sheria za nchi, Mahakama haimiliki kesi, kwa msingi kwamba mahakama inapokea tu malalamiko (kesi), mahakama haitafuti kesi mitaani ili ije izisajili. Mahakama ni kama mtoto mchanga anayelishwa chakula, mahakama "inalishwa" kesi zinazoletwa ndipo ifanye kazi.

Hata kama wananchi watapigana mitaani, watauana, lakini kama mgogoro haujapelekwa mahakamani, mahakama haiwezi kufungua kesi yenyewe.

Kesi za jinai zinaweza kufunguliwa na mtu binafsi, hasa mahakama ya mwanzo, lakini kuanzia mahakama ya wilaya, jamhuri ndio inafungua shitaka. Lakini mashtaka yote ya jinai, DPP ndiye anayaratibu, na anaweza kuingia katika shitala lolote lile, katika mahakama yoyote ile, na akaliendeleza au kuliondoa.

Kesi inapokuwa chini ya DPP, mtu aliyefanyiwa kosa anakuwa shahidi tu, sio mlalamikaji, inalalamika jamhuri kwamba mtu wake katendewa kosa.

Pale DPP anapoingia katika shitaka, yule aliyelifungua kwa jina binafsi mamlaka yake yanakoma, kesi mzima inaendeshwa na DPP. Hata Madeleka pia, inashangaza kwamba anakata rufaa katika kesi ambayo si ya mteja wake,kwa kuwa DPP ameshaichukua, ni kesi ya serikali kupitia DPP, mteja wa Madereka ni shahidi tu. Tangu lini shahidi akakata rufaa?

Hata kesi ya gaidi maarufu, Mbowe, wenye kesi waliamua kuiondoa.

Hii pia inaenda katika mashauri ya madai, Mwanasheria Mkuu ana mamlaka ya kuingia katika shauri lolote pale ambapo anaona kuna maslahi ya umma(maslahi ya umma sio lazima yawe maslahi ya serikali).

Kwa hiyo tusiilalamikie mahakama, wao mi simba wa kufugwa, hawawindi.
Naona unaongea upuuzi mtupu!!

Sisi tunacholalamikia sio DPP kuondoa kesi mahakamani,tunacholalamikia ni kuiondoa kesi bila kuzingatia maslahi ya umma.

Kumbuka Hashim Ally alipeleka ile kesi kama lalamiko kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa jinai,lilikuwa ni suala la mahakama kuchakata malalamiko yake kwanza kabla kumruhusu DPP kufanya maamuzi ya kuiondoa kesi.

Hii ndio kazi ya mahakama iliyothabiti,.Mahakama ndio chombo cha Mwisho cha utoaji haki kwa mujibu wa Ibara ya 107A ya katiba,hivyo ni aibu kwa mahakama kuona haki inanyongwa mbele yake halafu yenyewe inaangalia tu.
 
Jitahidi usitumie kichwa kubebea kamasi
 
Kwa mujibu wa sheria za nchi, Mahakama haimiliki kesi, kwa msingi kwamba mahakama inapokea tu malalamiko (kesi), mahakama haitafuti kesi mitaani ili ije izisajili. Mahakama ni kama mtoto mchanga anayelishwa chakula, mahakama "inalishwa" kesi zinazoletwa ndipo ifanye kazi.

Hata kama wananchi watapigana mitaani, watauana, lakini kama mgogoro haujapelekwa mahakamani, mahakama haiwezi kufungua kesi yenyewe.

Kesi za jinai zinaweza kufunguliwa na mtu binafsi, hasa mahakama ya mwanzo, lakini kuanzia mahakama ya wilaya, jamhuri ndio inafungua shitaka. Lakini mashtaka yote ya jinai, DPP ndiye anayaratibu, na anaweza kuingia katika shitala lolote lile, katika mahakama yoyote ile, na akaliendeleza au kuliondoa.

Kesi inapokuwa chini ya DPP, mtu aliyefanyiwa kosa anakuwa shahidi tu, sio mlalamikaji, inalalamika jamhuri kwamba mtu wake katendewa kosa.

Pale DPP anapoingia katika shitaka, yule aliyelifungua kwa jina binafsi mamlaka yake yanakoma, kesi mzima inaendeshwa na DPP. Hata Madeleka pia, inashangaza kwamba anakata rufaa katika kesi ambayo si ya mteja wake,kwa kuwa DPP ameshaichukua, ni kesi ya serikali kupitia DPP, mteja wa Madereka ni shahidi tu. Tangu lini shahidi akakata rufaa?

Hata kesi ya gaidi maarufu, Mbowe, wenye kesi waliamua kuiondoa.

Hii pia inaenda katika mashauri ya madai, Mwanasheria Mkuu ana mamlaka ya kuingia katika shauri lolote pale ambapo anaona kuna maslahi ya umma(maslahi ya umma sio lazima yawe maslahi ya serikali).

Kwa hiyo tusiilalamikie mahakama, wao mi simba wa kufugwa, hawawindi.
Mifumo ya haki iliyowekwa na CCM ni adui wa haki
 
Back
Top Bottom