Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,568
2,000
Hujui au umesahau kuwa mboe alikuwa na mpango wa kumuua aliyekuwa DC wa Hai.
kama mboe alijaribu kutaka kumuua DC Sabaya swali la kujiuliza je atakuwa alisha tekeleza mauaji kwa watu wangapi ambao huenda mamlaka hazikubaini?

kama Mbowe alidiriki kuwanunua waasi walio fukuzwa jeshini (kina Lingwenya na wenzake) kwa malengo ya kutenda vitendo vya kigai, je unadhani mboe alishindwa kuwa na mahusiano na magaidi walio kuwa wanafanya uhalifu maeneo ya kibiti na kwengineko, uwezekano huo upo kabisa, kwa sababu dhamira ya Mbowe ilikuwa kutekeleza ugaidi kwa kuwatumia magaidi waliopo popote pale, huenda alikuwa hata na mawasiliano na vikundi vingine vya kigaidi.
 

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
5,824
2,000
wewe ulidhani ugaidi ni lazima uwe na mamilioni?! halafu usisahau kuwa mboe ni mchaga!! pesa haitoki ovyo!
yote na yote ugaidi au uhalifu wowote ule haupimwi kwa kiwango cha fedha bali dhamira/maandalizi na kuuelekea utekelezaji.
hata hivyo unaweza kunaswa na kutiwa nguvuni hata kama bado uko kwenye mipango na ukashitakiwa, kama yalivyo mkuta mboe na wenzake.
Ugaidi ni vitendo sio dhamira ni sawa na wizi au uchawi vyote ni vitendo. Japo mwanzo wake ni dhamira kitendo ni lazima ili mtu aitwe mwizi, jambazi, gaidi nk.

Kwa hiyo dhamira haitoshi kumhukumu mtu billa kitendo

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 

RMC

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
785
1,000
Wewe hadi akili ime retire!

Waliokufa kwa mamilioni huko ulaya na kwingineko wamekufa kwa ujinga wa nani?
Msimamo wa JPM kuhusu korona ndio msimamo sahihi zaidi dunia nzima.

Hadi sasa ukilinganisha vifo vya huko walikochanja zaidi (ulaya) mfano urusi na huku kwetu unaona kabisa sisi tuko better.
 

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
5,824
2,000
Kwani wewe hufuati mkumbo? Wamekamatwa na vitu/vifaa gani vya kutenda ugaidi au mnakurupuka tu maigizo yenu? Bastola ya kumshikisha mtu ndio zana ya ugaidi? Kwani mama yako hana bastola?
Ni ajabu sana. Eti dhamira, nia ... unapimaje dhamira ikiwa hata maneno yake yenye kubeba dhamira huna. Huna list ya operaters, huna vikao vinavyopanga operations. Stories zitasaidiaje.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
8,546
2,000
Tar 18 kesi imeahirishwa mpk tar 19,then 20 alafu 23 tena 24 na 25 alafu 26 tunaendelea alafu+++... tumeahirisha kesi twende tu.
 

RNA

Member
Mar 27, 2013
21
75
Hivi Mfano mboye akishinda kesi Hawa mashahidi watafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi ? Maana hii kesi inachukua pesa na ni ya muda mrefu
 

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,568
2,000
Ugaidi ni vitendo sio dhamira ni sawa na wizi au uchawi vyote ni vitendo. Japo mwanzo wake ni dhamira kitendo ni lazima ili mtu aitwe mwizi, jambazi, gaidi nk.
Kwa hiyo dhamira haitoshi kumhukumu mtu billa kitendo

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
"inchoate crime" kinacho hitajika ni dhamira tu sio lazima kitendo/vitendo vitendeke.
ndio maana kuna kosa ktk sheria; Ukimtishia mtu kumua tu hata kama hujatekeleza kutendo ni kosa na unaweza kuathibiwa kwa mujjibu wa sheria.

kwa upande wa mboe yeye alikuwa muwezeshaji wa vitendo vya kigaidi....hata kama vilikuwa bado havijatendeka lkn kosa lipo
 

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,441
2,000
Mpofu mliopewa waTz ni laana tosha,hivi kweli kwa akili yenu mnaamini mbowe anaweza kushitakiwa na chama chake hasa ukizingatia ni mjukuu wa TAAA kupitia kwa wazazi wake?

Wenye akili wanatambua mbowe na wenzake wamo kazini na wanalipwa ujira wao ila vilaza kama wewe unaamini ni kesi halisi.

Kujiongeza ni sehemu ya maisha yako
 

Getang'wan

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
2,715
2,000
Ni ajabu sana. Eti dhamira, nia ... unapimaje dhamira ikiwa hata maneno yake yenye kubeba dhamira huna. Huna list ya operaters, huna vikao vinavyopanga operations. Stories zitasaidiaje...
Ndio maana wanaumbuka kila hatua. Na huyu jaji wao anayewachomolea madesa naye hajielewi. Nadhani ulifuatilia maelezo ya Mtobesya baada ya ukaguzi wa desa la shahidi.

Inaonekana walikuta mambo yasiyofaa, maswali na majibu kutoka kwa wakili wa serikali. Na jaji naye haelewi kwa kufanya maamuzi yanayotokana na shinikizo kunadhihirisha ufala au incompetence yake.
 

Getang'wan

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
2,715
2,000
"inchoate crime" kinacho hitajika ni dhamira tu sio lazima kitendo/vitendo vitendeke. ndio maana kuna kosa ktk sheria; Ukimtishia mtu kumua tu hata kama hujatekeleza kutendo ni kosa na unaweza kuathibiwa kwa mujjibu wa sheria.

kwa upande wa mboe yeye alikuwa muwezeshaji wa vitendo vya kigaidi....hata kama vilikuwa bado havijatendeka lkn kosa lipo
Na wewe bush lawyer tu huna lolote unalolijua kuhusu sheria. Dhamira unaithibitishaje beyond reasonable doubt? Mnazo audio au footage yoyote wakipanga mipango yote hiyo?

Mnayo ramani na vielelezo vya maeneo yanayopangwa kushambuliwa. Magaidi mnakunywa nao Mo energy na nyamachoma bila wasiwasi wowote?. Huo ujuha utawatokea puani siku moja, endeleeni tu.
 

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,568
2,000
Na wewe bush lawyer tu huna lolote unalolijua kuhusu sheria. Dhamira unaithibitishaje beyond reasonable doubt? Mnazo audio au footage yoyote wakipanga mipango yote hiyo?...
Mimi ni mtu wa mashamabani sio vichakani/bush.

Nalima mharagwe huku ipalamwa, karibu.

Jamuhuri ndio kazi yao kuthibitisha hilo sio mimi.

Mimi ntoa tu maoni yangu.
 

mr_politician

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
604
500
Haya yote unayo yasema, hayapo kwenye kesi hii...
ndio mana nikasema hili ni jambo jipya.
.... mboe alikuwa na mpango wa kumuua aliyekuwa DC wa Hai.
Tofautisha kumdhuru na kuuwa.
Afu inawezekana vipi Gaidi atake kumuua Jambazi.?

tekeleza mauaji kwa watu wangapi ambao huenda mamlaka hazikubaini?
Kina nani mkuu?
Alisha wahipelekwa Mahakamani kwa kesi ya Mauaji?
[Aquillin ❌]

waasi walio fukuzwa jeshini (kina Lingwenya na wenzake) .
Waasi mkuu,
ivi kunasehemu imezungumzwa kuwa wale makomandoo niwaasi?

Kua ndani ya Jei wi, kuna vijana wameenda vitani huko nje ya mipaka yetu,
wakawa viongozi huko, na wamevipiga vita vizuri, wakawa waasi.

Then Jeshi likawaludishwa Nchini Tz na wakawa huru mtaani,
then Police Tz waka wakamata kwa tuhuma zakupanga ugaidi na KUB...
 

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
5,824
2,000
"inchoate crime" kinacho hitajika ni dhamira tu sio lazima kitendo/vitendo vitendeke.
ndio maana kuna kosa ktk sheria; Ukimtishia mtu kumua tu hata kama hujatekeleza kutendo ni kosa na unaweza kuathibiwa kwa mujjibu wa sheria.

kwa upande wa mboe yeye alikuwa muwezeshaji wa vitendo vya kigaidi....hata kama vilikuwa bado havijatendeka lkn kosa lipo
Kutisha tayari ni kitendo dhamira iko akilini mwa mtu. Haipimiki bila kitendo. Kupanga ni kitendo pia sababu utaona maneno au utasikia sauti

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom