Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

Kwenye Kesi hii.Judge anaenda kuchanganyikiwa..sababu kuu ni kuwa anajua kuwa utetezi wana Hoja..na hoja yao ni ushindi kwa uteteZi lakn afanye nin mana Mfumo uliomuweka unakomand nini afanye...frustrating the Man!!
Mkuu, hawa majaji wanapoteza fursa nzuri sana waliyopewa, huyu na mwenzie aliyemtangulia kwenye kesi hii.

Kitu kinachotakiwa hapa jaji akifanye na kujijengea heshima ni kufuata sheria tu basi!
 
Mufti, utanisamehe, acha ujinga! Wewe na wapuuzi wenzako mlikuwa msitari wa mbele kutuaminisha waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga wenu huu huu. Leo unaleta talalila tena za maombi ya mvua! Rubbish, stop that nonsense!
Hawa watu wa dini wamezidhalilisha sana dini zao na wao wenyewe kujivunjia heshima.

Ni ajabu kwamba baada ya yote yale hawaoni haya/soni/aibu hata kujitokeza mbele za watu!
 
Kwani wenyewe, wenye gazeti hawawezi kurudi kwenye mitambo tena na kuchapa nakala zaidi? Nazo zikinunuliwa zote, si hiyo ndiyo biashara kwao, au watapewa masharti?
Msigwa ameshadraft barua... Tanzania tabu tupu
 
Hiyo diary lazima ilikuwa na "jambo" tu, kama isingekuwa na "jambo" huyo shahidi asingeingia nayo mahakamani awe anaisoma kutafuta majibu kila akiulizwa swali.
 
Mbowe akae atulie huko amepatafuta mwenyewe,nashindwaga kumuelewa huyu jamaa kesi za kipuuzi tu ambazo zinaepukika kabisa na ukafanya siasa safi na ruzuku ukapewa.

Kina Mdee wameruka majoka,tundu kaingia mitini anakula mbawa za kuku tu ubeligiji,sugu katambaa,jay wa mitulinga kaona bora apige mziki tu.

Sasa chama kiko wapi?
 
Mufti, utanisamehe, acha ujinga! Wewe na wapuuzi wenzako mlikuwa msitari wa mbele kutuaminisha waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga wenu huu huu. Leo unaleta talalila tena za maombi ya mvua! Rubbish, stop that nonsense!
Wafunge yeye na wanaccm waabudu mizimu ila sio Mungu
 
Mufti, utanisamehe, acha ujinga! Wewe na wapuuzi wenzako mlikuwa msitari wa mbele kutuaminisha waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga wenu huu huu. Leo unaleta talalila tena za maombi ya mvua! Rubbish, stop that nonsense!
Wewe hadi akili ime retire!

Waliokufa kwa mamilioni huko ulaya na kwingineko wamekufa kwa ujinga wa nani?
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Jambo jipya hili....
hujui au umesahau kuwa mboe alikuwa na mpango wa kumuua aliyekuwa DC wa Hai.
kama mboe alijaribu kutaka kumuua DC Sabaya swali la kujiuliza je atakuwa alisha tekeleza mauaji kwa watu wangapi ambao huenda mamlaka hazikubaini?

kama Mboe alidiriki kuwanunua waasi walio fukuzwa jeshini (kina Lingwenya na wenzake) kwa malengo ya kutenda vitendo vya kigai, je unadhani mboe alishindwa kuwa na mahusiano na magaidi walio kuwa wanafanya uhalifu maeneo ya kibiti na kwengineko, uwezekano huo upo kabisa, kwa sababu dhamira ya mboe ilikuwa kutekeleza ugaidi kwa kuwatumia magaidi waliopo popote pale, huenda alikuwa hata na mawasiliano na vikundi vingine vya kigaidi.
 
hujui au umesahau kuwa mboe alikuwa na mpango wa kumuua aliyekuwa DC wa Hai. kama mboe alijaribu kutaka kumuua DC Sabaya swali la kujiuliza je atakuwa alisha tekeleza mauaji kwa watu wangapi ambao huenda mamlaka hazikubaini?...
Kwa hiyo jeshi la Tanzania lina waasi?
 
Hujui au umesahau kuwa mboe alikuwa na mpango wa kumuua aliyekuwa DC wa Hai.
kama mboe alijaribu kutaka kumuua DC Sabaya swali la kujiuliza je atakuwa alisha tekeleza mauaji kwa watu wangapi ambao huenda mamlaka hazikubaini?

kama Mbowe alidiriki kuwanunua waasi walio fukuzwa jeshini (kina Lingwenya na wenzake) kwa malengo ya kutenda vitendo vya kigai, je unadhani mboe alishindwa kuwa na mahusiano na magaidi walio kuwa wanafanya uhalifu maeneo ya kibiti na kwengineko, uwezekano huo upo kabisa, kwa sababu dhamira ya Mbowe ilikuwa kutekeleza ugaidi kwa kuwatumia magaidi waliopo popote pale, huenda alikuwa hata na mawasiliano na vikundi vingine vya kigaidi.
 
wewe ulidhani ugaidi ni lazima uwe na mamilioni?! halafu usisahau kuwa mboe ni mchaga!! pesa haitoki ovyo!
yote na yote ugaidi au uhalifu wowote ule haupimwi kwa kiwango cha fedha bali dhamira/maandalizi na kuuelekea utekelezaji.
hata hivyo unaweza kunaswa na kutiwa nguvuni hata kama bado uko kwenye mipango na ukashitakiwa, kama yalivyo mkuta mboe na wenzake.
Ugaidi ni vitendo sio dhamira ni sawa na wizi au uchawi vyote ni vitendo. Japo mwanzo wake ni dhamira kitendo ni lazima ili mtu aitwe mwizi, jambazi, gaidi nk.

Kwa hiyo dhamira haitoshi kumhukumu mtu billa kitendo

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe hadi akili ime retire!

Waliokufa kwa mamilioni huko ulaya na kwingineko wamekufa kwa ujinga wa nani?
Msimamo wa JPM kuhusu korona ndio msimamo sahihi zaidi dunia nzima.

Hadi sasa ukilinganisha vifo vya huko walikochanja zaidi (ulaya) mfano urusi na huku kwetu unaona kabisa sisi tuko better.
 
Back
Top Bottom