Lambardi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 16,513
- 17,386
Majaliwa akiumwa nani atamsemea uongo ? AibubPM kusema uongo kila siku haoni aibuuui?Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu. Hata hivyo hajataja nchi ambako Makamu wa kaenda, na jukumu hilo linahisu nini.
"Vilevile Makamu wa Rais Dk. Isdory Mpango ambaye pia naye yuko nje kimajuku, achana na ule mtandao unaosemasema mambo ya ajabu ajabu, yupo nje kimajukumu, anawatakiwa kila la kheri watu wote ambao mmeshiriki hapa leo kwenye haya maadhimisho ya kitaifa anawaombea sana, anawatakia kila la kheri".